Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,556
Shem yamekua hayo?
Shem hawa majirani wa kipemba ni nuksi sana!
Shem yamekua hayo?
Inabidi uhame huko aiseeh!
Njoo shem umlindie baba mchungaji nyumba!
Hahahahah....nimeipenda hii picha!!Natamani siku moja na mimi nikwide polisi namna hii!!!!:msela:
![]()
Safi sna mwanamke wa shoka huyu
Sisi Polisi wa kwetu ukiwapa Kabari ya nguvu Roho zinawatoka. Wamekondeana Wana njaa ya kula mtu
Hahahahah....nimeipenda hii picha!!Natamani siku moja na mimi nikwide polisi namna hii!!!!:msela:
![]()