Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Ha ha ha.. Endelea kum-miss Mkuu.. Maana so far hilo ndilo pekee uwezalo kulifanya kwa muda huu.. Ha ha ha.. Kitu cha kufa mtu hicho..
Money stunna hebu fanya uhalifu mmoja tuu wakupeleke kule ndani aliko halafu utakuwa unamuona tuu akiwa anaenda kufuata msosi wewe ukiwa kwenye nondo
sijui nifanya nini,na sijui atatoka lini,sijui nifanye nini nimtoe uko alipo,nimemmis sana na niko mbali nae
sijui nifanya nini,na sijui atatoka lini,sijui nifanye nini nimtoe uko alipo,nimemmis sana na niko mbali nae
Jitangaze kuwa wewe ndo uliyesababisha kwa makusudi ajali iliyomuua Sharo milionea pia useme wewe ndo uliyeiba vitu vyake, wallah tena utajikuta uko jirani nae kasoro vyumba,anzia hapo kwanza
chuma cha ukweli kwa sasa atakuwa ameolewa na kajala kwa hiyo inabidi usahau mpaka hapo atakapotoka jela
Ni mpenzi wako? tueleze ukweli.
sijui nifanya nini,na sijui atatoka lini,sijui nifanye nini nimtoe uko alipo,nimemmis sana na niko mbali nae
Ha ha ha.. Fanya mpango apate msamaha wa Raisi.. very simple..
Umepewa ushauri wa bure na Mr Rocky, mbona wazidi kulalama?sijui nifanya nini,na sijui atatoka lini,sijui nifanye nini nimtoe uko alipo,nimemmis sana na niko mbali nae