i have a confession wana JF,nimemmiss sana uyu na niko mbali nae

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,090
Points
2,000

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,090 2,000
Money stunna hebu fanya uhalifu mmoja tuu wakupeleke kule ndani aliko halafu utakuwa unamuona tuu akiwa anaenda kufuata msosi wewe ukiwa kwenye nondo
ningekuwa ni msichana sawa,si nasikia magereza ya jinsia ya kike na kiume ni tofauti,naitaj kama kias gani nimtoe uko alipo sababu nimemmis ata kumuona imekuwa shida,kwanza hakuna mdada yeyote anayemfikia uyo kiusanii ameanza longtime sana toka akiwa mtoto na amemudu sana hii tasnia ya filamu na amechanga ukuaji wa tasnia hii toka maigizo yani tamthilia adi movie
 

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
sijui nifanya nini,na sijui atatoka lini,sijui nifanye nini nimtoe uko alipo,nimemmis sana na niko mbali nae
Jitangaze kuwa wewe ndo uliyesababisha kwa makusudi ajali iliyomuua Sharo milionea pia useme wewe ndo uliyeiba vitu vyake, wallah tena utajikuta uko jirani nae kasoro vyumba,anzia hapo kwanza
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,090
Points
2,000

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,090 2,000
Jitangaze kuwa wewe ndo uliyesababisha kwa makusudi ajali iliyomuua Sharo milionea pia useme wewe ndo uliyeiba vitu vyake, wallah tena utajikuta uko jirani nae kasoro vyumba,anzia hapo kwanza
tatizo la magereza wanatenganisha kati ya jinsia ya kike na kiume,wangekuwa wanatumix,ningejilipua tu uko segerea nia ni kumuona angalau nimshike mkono,kila siku namuombea kwa mungu amuepushe na maswahiba ya uko jela na aweze kurudi uraiani salama
 

Forum statistics

Threads 1,392,869
Members 528,740
Posts 34,120,589
Top