I hate this

I hate this

Weka picha yako ndo tufanye maamuzi. Polgon yako INAWEZA KUWA tatizo

Hahaha,zamani alishanambia hajanipendea uzuri....anyway,sijisifii wala siringi ila natosha,namshukuru Mungu
 
Ndo maana nimeuliza,I thought of changing phone and email but sijajua kama itasolve coz sijui anatumia mbinu gani
ingia kwenye settings za simu yako
nenda kwenyr intalled apps
ukikuta apps hazieleweki na hukuziinstal hebu ziunistal fastaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
prado unampenda mtu wqkati anakuumiza, basi ngoja nikuache nisije nikaonekana mbaya
 
Last edited by a moderator:
Kwanin ujiumize moyo mumy, kama hana interest nawe its better to move on with ur life kuliko kuumia. #@ team no stress
 
Piga chini uone atavyolia kwa uchungu na kujutia upumbavu wake! prado unamuendekeza mno tatizo na kashajua hupindui
 
Last edited by a moderator:
prado maskini una umri gani mamii??! Halafu sasa unakuja kumpata binti kama huyu hapo baadaye amekuwa drained (well ameruhusu kuwa drained) emotion yote na mapenzi yote.

Ndo maana Mentor bado nipo nipo...
prado unaniudhiiiiiiiiiiiiiiiii hujui tu. #alamsik
 
Hahahaaaaa! Shikamoo Mentor
 
Last edited by a moderator:
Sasa binti wa namna hii unamfanyia nini!?? unamshauri nini!?? Angekuwa mdogo wangu ningemchapa viboko!

Yaani nyie viumbe sijui mnataka nini, mkipendwa taabu, mkifanyiwa viroja pia mnalalamika, khaaaah!!!
 
Hahahahnguvu za giza ziko wapi?
Kama jamaa kainstall muapplication wa kumfuatilia mwanamke wake ambaye anajifanya hamtaki???

Unampa anachokitafuta tu

Tena wanaume kama hawa unakua na michepuko mitano na una chart nayo kimahaba Mpaka Mpaka akome kufatilia yasiyo muhusu
 
Tena wanaume kama hawa unakua na michepuko mitano na una chart nayo kimahaba Mpaka Mpaka akome kufatilia yasiyo muhusu

Hahahaaaaa!! Yaani zinaingia tu msg utadhani wasap group, akitoka huyu inaingia ya huyu, kiherehere choote kwishney.
 
Hahahaaaaa!! Yaani zinaingia tu msg utadhani wasap group, akitoka huyu inaingia ya huyu, kiherehere choote kwishney.

Mpaka akome mwenyewe mana hata kama kunipenda jamani sio kuingilia privacy zangu chat nyingine unakuta ya mzazi Dada jitu linajisomea tu eti kisa linakupenda. Bora kumkomesha
 
Back
Top Bottom