I hate this

I hate this

Huna haja ya kuavoid
..

Dawa ni kuchat kimahaba na mwanaume mwingine

Si anapenda kusoma msg zako? Ndio azisome vizuri

Hahaha,short tempred huyo....namuheshimu na kumpenda sana tu,akiumia yeye me ni mara1000 yake,I can't hurt him intentionally
 
unatumia simu ya aina gani? jaribu ku restore atakuwa amekuwekea spy software
 
Na wewe hujielewi wala hujui utakacho

Mshabreak up bado mnapangiana maisha?????

Acha akuendeshe kama gari bovu


Chats zenyewe sio mbaya ila hapendi tu nisocialize na watu,dat1 I agreed wen we were okay together but after short breakup I could not stay like that kwa frustrations nazopataga I have to talk to people at least nipate nafuu.....ila tukianza kuwasiliana anaaanza kunihukumu sasa
 
Huyo bado anakupenda ndio maana anakufuatilia au labda mpo wawili au zaidi sasa anajaribu kucompare kwa kuwapima kuwa amchukue yupi kati yenu,vp ulishampa mzigo lakini?

He doesn't show that,he's not humble hata akikosea,hata nkimwambia nimechoka ananijibu go on,while ye akisema hivyo ntamplease hadi tuelewane
 
Me na yeye tuna complicated relationship, ana act like he's not interested with me,he doesn't care whatever I can decide for him ila ananifatilia kiupande wa mawasiliano....anaona kila chat ya whatsapp na text za kawaida,how can I avoid this?!!

So easy gal go to your phone then reset to factory setting..
 
Hatua za kurestore ni zipi?!

sijui simu unayotumia, by the way nenda kwenye setting >factory reset au backup & reset hapo utafuta hiyo application inayofanya apate sms zako
 
He doesn't show that,he's not humble hata akikosea,hata nkimwambia nimechoka ananijibu go on,while ye akisema hivyo ntamplease hadi tuelewane

That's simple case...still u can assist him to change,mueleze tu na kumpa muda ataacha huo UTOTO.
 
Na wewe hujielewi wala hujui utakacho

Mshabreak up bado mnapangiana maisha?????

Acha akuendeshe kama gari bovu

If u were in ma shoes u cudnt say differently from dat.....
 
He doesn't show that,he's not humble hata akikosea,hata nkimwambia nimechoka ananijibu go on,while ye akisema hivyo ntamplease hadi tuelewane

Teh teh teh teh!! Unahitaji maombi wewe sio bure.
 
Kuna jambo ambalo hulisemi, kwani huko whatsapp na sms unachat na akina nani? Something is fishy!
 
Back
Top Bottom