dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Mh..mkuu, kwani wewe mfupi? inaonekana kama reaction vile..hahahahahaaaMe sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
Mh..mkuu, kwani wewe mfupi? inaonekana kama reaction vile..hahahahahaaaMe sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
ahukumuye huukumiwa pia.
as the way u do here!!
wewe mrefu? warefu wana soko pana! lol:smile-big:
sijakuhukumu hapo nausidhani utaoa pasipo kupenda Mungu ni wa ajabu usitoe neno juu ya uumbaji wake ungejikalia kimya wangu!! anakupiga upofu wa kutokuwaona warefu unajikuta umezama kwa mfupi na umependa vibaya, we tubu kwa Mungu na umuombe akupe mtazamo mpya, kuna watu hawapendi watu warefu ila wamekaa kimya!!!!!niachie hapo nisiendelee zaidi ila tubu yasiwapate kizazi chako ni kwa upendo tuu!!!!!!!!
Me sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
kama hujaoa nakuhakikishia utakuja kuoa mwanamke mfupi mpaka usiamini utarudi hapa kulidhibitisha Mungu hadhihakiwi upandacho utakivuna
Chuki ni tabia mbaya kwani ni miongoni mwa tabia inayokua utaanza kwa wafupi ila hautaishia utaamia kwa warefu wembamba safari haitaishia hapo mwisho wa siku unaamia kwa watu wako wa karibu mana hata kama kwenu wote mmezaliwa walefu lakini utakuta kaka yako kaoa mfupi inamaana chuki kwa shemeji yako utaificha ipo siku utashindwa wakati unajiuliza mdogo wako wa kike kaolewa na shepu tena usioipenda ujakaa vizuri mungu kaskia maombi yako huyo mkeo mrefu kumbe ana ex wake mbilikimo alikuwa anachepuka nae hatimae unabambikwa mimba bila kujijua mtoto anazaliwa umri kadri unavyozidi kwenda ndio anazidi kuwa mfupi
Me sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu.
Na kila mtu naamini anakasoro yake..
Mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu!
baasi!! nitakuchukulia kivingine.
Thats my big weakness..
Ufupi wa Below 4.5 feet kwangu ni shida, na hili limenikaa kwa muda mrefu sana.
What can I do to change my attitude?
Katika shughuli za kawaida, mara nyingi nakutana na watu wa type hii na huwa najizuia sana, dharau yangu isidhihirike wazi.
Wewe utakuwa mfupi...mimi ni mrefu saaaaana ila nakuambia nienjoy kudate na watu wafupi( sio mbilikimo)...warefu wavivu sana kwenye 6*6..wafupi wanajituma sana ili uwaone wako poa, wanaweza kukutoa nishai...wewe raha mustareee