I hate Shorty Ladies..

I hate Shorty Ladies..

ebwana wafupi wakorofi balaaaa....ila dah mie penda tall women yaani ni wazuri na wataratibu kweli

Wewe utakuwa mfupi...mimi ni mrefu saaaaana ila nakuambia nienjoy kudate na watu wafupi( sio mbilikimo)...warefu wavivu sana kwenye 6*6..wafupi wanajituma sana ili uwaone wako poa, wanaweza kukutoa nishai...wewe raha mustareee
 
Sijaelewa, unauchukia ufupi au wana wachukia wao. kwani kuna tofauti ya kuchukia umbile na si binadamu. sasa sijui wewe uko wapi
 
Tujulishe kabisa,ameishaolewa au bado anasoma namba na kuvizia waume za watu,
ubaguzi ni laana,mtu anayejiapiza kumchukia binadamu mwenzie bila sababu ya msingi ukifuatilia maisha yake yanaishia pabaya.

na kuelewa udhaifu wangu na kutaka kubadilika
ni mapenzi ya Mungu pia..
 
Tujulishe kabisa,ameishaolewa au bado anasoma namba na kuvizia waume za watu,
ubaguzi ni laana,mtu anayejiapiza kumchukia binadamu mwenzie bila sababu ya msingi ukifuatilia maisha yake yanaishia pabaya.

Hajaolewa mpk sasa halafu mungu anajua kumpa mtu adhabu wanaume wanaomtokea ni hao hao wafupi
 
Ni dhamb kuchukia walionamapunguf uyaonayo kwa upande wko huwez jua kesho yko!
 
nimekiri udhaifu wangu mkuu..
ndiyo maana nikaandika, sipendi iwe kama ilivyo.

kama hujaoa nakuhakikishia utakuja kuoa mwanamke mfupi mpaka usiamini utarudi hapa kulidhibitisha Mungu hadhihakiwi upandacho utakivuna
 
Back
Top Bottom