victorserv
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 195
- 56
Mtoa mada tubu kwa Mungu,utakufa kibudu ukijiona ila kama ni wale wa div 5 naomba tukusamehe bure maana hata walimu walokufundisha walipata hiyo alaf hawakufanyiwa usahili kuingia kazini
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu.
Na kila mtu naamini anakasoro yake..
mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu!
baasi!! nitakuchukulia kivingine.
Thats my big weakness..
Ufupi wa Below 4.5 feet kwangu ni shida, na hili limenikaa kwa muda mrefu sana.
What can i do to change my attitude?
Katika shughuli za kawaida, mara nyingi nakutana na watu wa type hii na huwa najizuia sana, dharau yangu isidhihirike wazi.
Mkuu kama nataka ku balance basi anza ku date na wasichana wafupi, najua mwanzoni utapata taabu sana lakini kadri unavyoendelea utawazoea.
Me sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
you ain normal unaugomjwa wa WAFUPIPHOBIA kuna miwani unaona watu warefu 0707000999 tuwasiliane
Ulisha wahi kujiuliza wewe unakasoro gani na inawakera watu kwa kiasi gani? Kuna uwezekano kero yako kwa hao wafupi ni zaidi ya kero yako kwa jamii nzima, huenda unanuka mdomo na kila unaeongea nae anachukia ila anashindwa kukwambia, muombe sana mungu akufungulie ujue mapungufu yako kabla ya mwingine na hapo ndio utajua mungu alikuwa na maana gani pale YESU ALIPO WAPITA WATU WALEFU ZAIDI YAKO WEWE NA KWENDA KUKUTANA NA BWANA ZAKAYO AMBAE NI MFUPI ZAIDI YA HAO UNAOWACHUKIA WEWE
Mungu ameumba watu kwa njia ya pekee sana, ameumba wengine wafupi na wengine warefu, ameumba mweupe na mwingine mweusi. Ameumba hvyo kwa ajili ya ku meet every human satisfaction. Kwa anayependa mfupi,anayependa mrefu,mweus or mweupe apate sawa na hitaj lake. Ushauri ni kuwa usimchukie na wala msidharau mtu kwa maumbile au rang yke maana utakuwa against na muumbaji, cha kufanya jitahid kumpenda kila mtu maana ameumbwa kwa jinsi ya ajabu na kupendeza hta kama c kwako havutii bal kwa mtu mwingine uvutia na kupendeza xana.
Me sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
Acha dharau wewe! Kwanza utambue kuwa hakuna mtu aliyeomba urefu/ufupi wakati anaumbwa. Na utambue ni kosa kumchukia mtu bila sababu za msingi. Poleni wadada wote wafupi mnaochukiwa na huyu jamaa. Mimi nawapenda sana!Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu. Na kila mtu naamini anakasoro yake.. mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu! baasi!! nitakuchukulia kivingine. Thats my big weakness.. Ufupi wa Below 4.5 feet kwangu ni shida, na hili limenikaa kwa muda mrefu sana. What can i do to change my attitude? Katika shughuli za kawaida, mara nyingi nakutana na watu wa type hii na huwa najizuia sana, dharau yangu isidhihirike wazi.
uran hii itakuafaa sana njoo uisome na uifanyie kazi halafu utatuambia ikiwa utapenda watu wakuchukie kwa mapungufu uliyonayo,au we mwenzetu umekamilika?Ulisha wahi kujiuliza wewe unakasoro gani na inawakera watu kwa kiasi gani? Kuna uwezekano kero yako kwa hao wafupi ni zaidi ya kero yako kwa jamii nzima, huenda unanuka mdomo na kila unaeongea nae anachukia ila anashindwa kukwambia, muombe sana mungu akufungulie ujue mapungufu yako kabla ya mwingine na hapo ndio utajua mungu alikuwa na maana gani pale YESU ALIPO WAPITA WATU WALEFU ZAIDI YAKO WEWE NA KWENDA KUKUTANA NA BWANA ZAKAYO AMBAE NI MFUPI ZAIDI YA HAO UNAOWACHUKIA WEWE
Ulisha wahi kujiuliza wewe unakasoro gani na inawakera watu kwa kiasi gani? Kuna uwezekano kero yako kwa hao wafupi ni zaidi ya kero yako kwa jamii nzima, huenda unanuka mdomo na kila unaeongea nae anachukia ila anashindwa kukwambia, muombe sana mungu akufungulie ujue mapungufu yako kabla ya mwingine na hapo ndio utajua mungu alikuwa na maana gani pale YESU ALIPO WAPITA WATU WALEFU ZAIDI YAKO WEWE NA KWENDA KUKUTANA NA BWANA ZAKAYO AMBAE NI MFUPI ZAIDI YA HAO UNAOWACHUKIA WEWE