I hate tall man. Wana madushele marefu yanafika hadi kiunoni
Kuna aya ndani ya Biblia inasema hivi aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo. Na kuhusu namna gani usiwachukie hao watu wafupi, fanya hivi.
Katika kitabu cha Mithali 16:7 tunasoma hivi Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye Najua hao ni adui zako tokea moyoni ndio maana ukiwaona unawachukia, basi mrudie BWANA naye atakupatanisha na watu wa namna hiyo, maana hata hao aliwaumba yeye kama alivyokuumba wewe. Wanadamu tunabaguana bali Mungu anatupenda wote. Ndio maana awanyeshea mvua, na kuwaangazia jua watu wote, wema kwa waovu.
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu.
Na kila mtu naamini anakasoro yake..
Mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu!
baasi!! nitakuchukulia kivingine.
Thats my big weakness..
Ufupi wa Below 4.5 feet kwangu ni shida, na hili limenikaa kwa muda mrefu sana.
What can I do to change my attitude?
Katika shughuli za kawaida, mara nyingi nakutana na watu wa type hii na huwa najizuia sana, dharau yangu isidhihirike wazi.
Never hate but simply do not like them. Personally I don't like any short guy. They are problematic naturally.
I hate tall man. Wana madushele marefu yanafika hadi kiunoni
I hate tall man. Wana madushele marefu yanafika hadi kiunoni
Never hate but simply do not like them. Personally I don't like any short guy. They are problematic naturally.
Hata mimi siwachukii ila sikuwahi kuwawazia kama partners maishani (boyfriend/mume) kwa kuwa kumekuwa na theory ambayo na mimi nimesha i taste kuwa hawajiamini...mtu yeyote asiyejiamini ni ngumu sana kuwa naye...
Ila wanawake wako powa sana ingawa wengi wanajishuku ufupi wao...(kima chao akiwafanyi wawe wakorofi kama wanaume)
Narekebisha Kauli...Ungesema siyo taste yako siyo kuwachukia...chuki mbaya...
Ila na nyie wafupi msijinyanyapae...marafiki zangu wafupi wananiudhi kwa kutokujiamini; utakuta mtu anakwambia mimi lazima nivae viatu virefu sababu mimi mfupi; ukimwangalia yuko powa na anaweza kuvaa vyovyote akapendeza; lakini wenyewe mnapenda kujidharau...
Kuna mmoja mpaka kaota vigimbi kisa anatafuta urefu kwa kutumia viatu