imenibidi nicheke sana looh.... Hahahahahaaa
Me sipendi mwanaume mrefu yani nikikutana nar nasikia kinyaaaa :evil:
ebwana wafupi wakorofi balaaaa....ila dah mie penda tall women yaani ni wazuri na wataratibu kweli
huyu chalii ni mbaya anaweza hata ua watu wafupi bora kuokoa jahazi la wafupi kwa huyu mfusi wa teammachizi Lady doctor
Wacha nipite mie
aisee......... Ningekuwa mfupi ningeandamana hakyanani sio fair kabisaaa!!!!!!!!
Na sisi wanaume wafupi cjui inakuaje..
we mrefu gorgeousmimi?mhhh haya watu wafupi washakosa soko!!
we mrefu gorgeousmimi?
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu.
Na kila mtu naamini anakasoro yake..
Mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu!
baasi!! nitakuchukulia kivingine.
Thats my big weakness..
Ufupi wa Below 4.5 feet kwangu ni shida, na hili limenikaa kwa muda mrefu sana.
What can I do to change my attitude?
Katika shughuli za kawaida, mara nyingi nakutana na watu wa type hii na huwa najizuia sana, dharau yangu isidhihirike wazi.
Kuna aya ndani ya Biblia inasema hivi aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo. Na kuhusu namna gani usiwachukie hao watu wafupi, fanya hivi.
Katika kitabu cha Mithali 16:7 tunasoma hivi Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye Najua hao ni adui zako tokea moyoni ndio maana ukiwaona unawachukia, basi mrudie BWANA naye atakupatanisha na watu wa namna hiyo, maana hata hao aliwaumba yeye kama alivyokuumba wewe. Wanadamu tunabaguana bali Mungu anatupenda wote. Ndio maana awanyeshea mvua, na kuwaangazia jua watu wote, wema kwa waovu.
aisee......... Ningekuwa mfupi ningeandamana hakyanani sio fair kabisaaa!!!!!!!!
Tujulishe kabisa,ameishaolewa au bado anasoma namba na kuvizia waume za watu,Kina msichana mmjoa alikuwa anawaita wanaume wafupi eti mbegu chafu hahaha