I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

Mambo babu Mtambuzi? whatz up...hiyo ndo unataka?
 
Last edited by a moderator:
ndo kipimo cha Uanaume bana..iyo mambo ni basic need Erickb52
Ni kweli yan ni kwa sababu hata yale mambo yetu performance lazma ishuke na ndio kitu pekee kikubwa ambacho mwanaume hakopendi duniani yan ni fedheha kubwa sana aisee mimisa lol
Bora ukose miguu yote ila tamutamu ibaki constant
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

Shikamoo Mzee Mtambuzi.... Hivi leo juma ngapi vile?????
 
Last edited by a moderator:
Muone!
Kulakula tu . . . mi nimefunga a.k.a am closing!
Hehehehee ndio shida yako....ngoja ukizidiwa na kizunguzungu usiniite!
Hebu twende tukale achana na Mtambuzi hana jipya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…