Ningependa zaidi kuitwa ANKO,
Yaani nisalimiwe kwa kuambiwa , "HABARI ZA ASUBUHI ANKO"
Huko IKULU usipazungumzie, utaniletea KIDAMISI nyumbani...
Ushindwe kabisa
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu
Hata mie sipendagi hata kidogo, afu kuna huyu binti anaitwa King'asti huwa anaweza kuniamki2 hata mara tano kwa siku, sipeendi, kuwekana kwenye nyakati ngumu tu
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu
Weweb ingependeza sana kama ungesema habari za asubuhi anko
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,
Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.