I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

I hate SHIKAMOOO.....!!!!!!!!!!!

Duh ! Ninii ? Asnam !
Duh ya kiumbeyaumbea, badala umsaidie Mtambuzi kumjibia unajitoa fahamu!
We huoni Mtambuzi kalihepa likwizi langu ?
Msaidie sasa!
Chuchuchu humu zipo?
Au milapa ndo inaongoza ligi ?
Tiririka mwana .....

chuchu saa sita zipo nyingi,baba Mtambuzi huwa naenda nae kuonana na hizo totoz lakini ananiambia nikisema hatanilipia ada.
 
Utakua mzee wa bandari nini? Bac chukua madala kibao ikibidi pitia kitaa tufumue
 
Salamu ya ajabu. Salamu hadi ujadali moyoni sijui huyu kanizidi umri au dogo tu. Tanzania ya sasa kwa jinsi tulivochoka utamkia shikamoo hadi basi.
 
Ivi nikifaa gani kinacho tumika kupunguza umri? Mf, miaka 52 una punguza 27 nakubaki 25,
 
busha?..ha ha ha..huo mpira wa watoto
Hehehehee dah hivi mtoto akikuvizia akaudunga shuti akijua ni mpira itakuwaje???
Hehehehee lazma mtu afe aisee maana ile kitu inauma kuliko kitu yoyote mwilini!
 
afu hasira ni 24/7
Ni kweli yan ni kwa sababu hata yale mambo yetu performance lazma ishuke na ndio kitu pekee kikubwa ambacho mwanaume hakopendi duniani yan ni fedheha kubwa sana aisee mimisa lol
Bora ukose miguu yote ila tamutamu ibaki constant
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,

Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.

shika ooo mzee Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom