It is not african!inadhalilisha utamaduni wetu mzuri wa kiafrika kwa kudesa kila kitu from europe and america!I HATE BIG BROTHER AFRICA
Mimi nawashangaa watu utafikiri labda wameshikiliwa bunduki kichwani wakalazimishwa kuangalia kama haupendi it's simple change the channel DSTV kuna channel kibao za kuangalia.Si uache kuiangalia?