Udikteta wa Hitler haukuanza siku mmoja, alianza taratibu kama tunavyoyaona sasa, mwisho ukawa dikteta halisi. Hata kauli ya Rais kwamba Polisi wasiogope Lawama imenisononesha sana. Lazima tuilaani hatua hii ya kuipeleka nchi kwenye udikteta. Nadhani hata baba zao wanaowafadhili (wahisani) hawatakaa kimya ktk hili. Let us see.
sikumbuki ni nani lakini ni katika wanamageuzi wa mwanzo hapa Tanzania (90s) aliwahi kuongea kawa uchungu juu ya hii perception ya mzungu wa kwanza kufika hapa aliyoyaona kabla ya kupiga marufuku biashara ya utumwa.Yaani sijui nisemeje,inachosha kwakweli.
Watanzania wenzangu kweli tunaweza kuendeshwa namna hii kama mataahira? Watu wanapata wapi huu ujasiri wa hata kujaribu kutamka haya hadharani alafu tukawaacha?
Hiki ni kiburi na ni dhahiri wapinzani wasipojiandaa sasa CCM hawako tayari kuachia madaraka kwa amani! Tujiandae Watanzania,Maana hii si siasa tena bali uhaini! Bunge kuonyeshwa live imekuwa hisani tena!!!
Nafikiri imetosha sasa!!!!
sasa si ndio vizuri mkuu Oxlade-Chamberlain, wamejitambua kuwa they have nothing to offer to the TanzaniansMie nilijua watarekebisha upuuzi wao kumbe ndio kwanza wana mpango wa kuficha upuuzi wao kwa wananchi?
Hakuna kitu kinachotia hasara nchi yetu kama bunge. Sijaona cha maana wabunnge wa ccm wanajadili zaidi ya kucheka cheka hovyo na kupiga makofi hovyo hovyo.
Bunge lifutwe kabisa halina maana kwenye nchi yetu. Kila kitu cha maana kinapingwa na spika
Kuna wakati niliwahi kuandika humu JF kwamba Kikwete ana element zote za udikteta. Na kwamba kutokana na kukosa uwezo wa kujenga hoja za kushawishi sasa kila mahali anatumia ubabe. Watu wakanikejeli kwamba sijui maana ya dikteta na uchadema unanisumbua. Lakini naona sasa hatimaye niliyosema miaka miwili iliyopita yanaanza kudhihirika. Kikwete yupo tayari kulinda himaya yake kwa gharama yoyote ile ikiwamo ya kumwaga damu ya watanzania na kuwanyima watanzania haki wanazostahili kama binadamu. Mungu atuepushe na hali hii, maana tunakoelekea hatuna miaka mingi kabla hatujauana.Udikteta wa Hitler haukuanza siku mmoja, alianza taratibu kama tunavyoyaona sasa, mwisho ukawa dikteta halisi. Hata kauli ya Rais kwamba Polisi wasiogope Lawama imenisononesha sana. Lazima tuilaani hatua hii ya kuipeleka nchi kwenye udikteta. Nadhani hata baba zao wanaowafadhili (wahisani) hawatakaa kimya ktk hili. Let us see.
Hakuna cha baba zao! Hao wafadhili wao huagalia vitu vinavyowafaidisha wao, usitegemee hata siku moja tukapata maendeleo kwa kuwategemea wafadhili. Tunatakiwa ni sisi tuungane kwa kuondoa tofauti zetu, tusifitiane.Udikteta wa Hitler haukuanza siku mmoja, alianza taratibu kama tunavyoyaona sasa, mwisho ukawa dikteta halisi. Hata kauli ya Rais kwamba Polisi wasiogope Lawama imenisononesha sana. Lazima tuilaani hatua hii ya kuipeleka nchi kwenye udikteta. Nadhani hata baba zao wanaowafadhili (wahisani) hawatakaa kimya ktk hili. Let us see.
Yaani sijui nisemeje,inachosha kwakweli.
Watanzania wenzangu kweli tunaweza kuendeshwa namna hii kama mataahira? Watu wanapata wapi huu ujasiri wa hata kujaribu kutamka haya hadharani alafu tukawaacha?
Hiki ni kiburi na ni dhahiri wapinzani wasipojiandaa sasa CCM hawako tayari kuachia madaraka kwa amani! Tujiandae Watanzania,Maana hii si siasa tena bali uhaini! Bunge kuonyeshwa live imekuwa hisani tena!!!
Nafikiri imetosha sasa!!!!
nani kawaambia kuwa vikao vitakuwa vya siri? Waandishi watakuwapo ndani ya ukumbu as usual mbona mnadanganya watu ninyi?
yaani sijui nisemeje,inachosha kwakweli.
Watanzania wenzangu kweli tunaweza kuendeshwa namna hii kama mataahira? Watu wanapata wapi huu ujasiri wa hata kujaribu kutamka haya hadharani alafu tukawaacha?
Hiki ni kiburi na ni dhahiri wapinzani wasipojiandaa sasa ccm hawako tayari kuachia madaraka kwa amani! Tujiandae watanzania,maana hii si siasa tena bali uhaini! Bunge kuonyeshwa live imekuwa hisani tena!!!
Nafikiri imetosha sasa!!!!