bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 644
Hakuna uchawi juu ya kweli na mwisho wao kutawala umefika.Mungu atajilipiza kisasi kwa wote wenye mawazo ya fitina na maovu wanayoyafanya kubaka demokrasia wakidhania kuwa watatawala milele.Kutunyima haki ya msingi ya kusikiliza kama wawakilishi wetu wanatusemea matatizo yetu bungeni haikubaliki hata kidogo ubabe huo utazidisha hasira kwa wananchi na kuichukia ccm