I feel played

I feel played

..wanawake bana...!!! saikolojia ya wanaume ngumu sana, wengi wanasema upo cute kwa sababu zao.. angalia sana mwanaume anayependa kukusifia...

well said brother! Hawa viumbe sijui walipewa akili gani! Duh! So sad.
 
Glad you had a good time.

I don't see booze in your Karume Day activities.

teetotaler?

Hell no, jioni sasa...trying not to drink I'm the midday nowdays hata kama ni holiday, mpaka jioni jioniii...grabbed some siku ndo ikaisha hivooo.
 
Habari za jioni wana MMU,

Mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when I was still katoto but I never took it serious until last year ndo akanitambua.

Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitext yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.

Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni.

Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mpaka yanikumbuke, am I being a little girl or is it just his character.

Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi.

Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali.

POLENI KWA UZI MREFU...

How old are u??
 
Nakaribia kutimiza 24

Pole sana ndio maana jamaa anakuchezea ila we ujastuka tu!!Ki fupi kwa mtazamo wangu huyo jamaa ana mahali kapenda kwako huwa anatafuta kupoza miemko pindi alipopenda hamna game......Kimbia speed zote bado mdogo, sitisha huduma zote kwake
 
Pole sana ndio maana jamaa anakuchezea ila we ujastuka tu!!Ki fupi kwa mtazamo wangu huyo jamaa ana mahali kapenda kwako huwa anatafuta kupoza miemko pindi alipopenda hamna game......Kimbia speed zote bado mdogo, sitisha huduma zote kwake
Sio kitu rahisi lakini
 
act the way he does and see what happen
if he is in to u atashtuka if not mpotezee anakupotezea muda
 
Wewe ni mshika pembe, kwa kauli nyepes na kukusikitisha. Ila ndo ukwel wenyewe. Practice kutoka katka huo mtandao taratibu.
 
Inawezekana kabisa huyo jamaa anakupenda lakini hakuamini...pengine anakuona bado mdogo sana...haamini uwezo wako wa kufanya maamuzi..hana uhakika unampenda au infatuation..Ana take time kukuelewa
 
One sentence for you baby gal, "he is not that into you"!

stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.

Mimi nasema keep it up little thing, kuna siku atagundua hakuna anayemtreat poa kama wewe; kinachokufanikisha katika maisha ni wewe kuwa tofauti na wengine. Kila mtu anapenda kununua mahali penye discount kubwa hata mgahawa haufanyi biashara nzuri kama unatoa huduma ya kawaida inayotolewa na migahawa mingine; ni lazima utoe cha ziada ambacho wengine hawako tayari kutoa pitia hapa kwa akili zaidi www.quasserer.com
 
Back
Top Bottom