Bint mzuri sana kuwa mke huyo!
Laiti angepata mwanaume anayemstahili!!!!
Mimi ngoja niseme na mdada, si amesema yupo humu na anasoma haya?He he he, unajichimbia kaburi la ndoa. Hakuna ndoa ya huruma, ndoa si kombe kwamba mtu akikushinda kwa wewe kumpa ujauzito, eti umamzawadia. Utajitesa kwa nafsi kukusuta kila ukim-mistreat. Na yeye atakuwa mtumwa kila siku sababu anataka kubaki ndoani na wewe. Kwa kifupi, wote hamtakuwa happily after ever.
Ndoa ni kuhitajiana kwa wawili kuishi kwa hali zote, hata wakiboana vipi, bado kuna ule 'moto' ndani yao unaosema, namhitaji paka.shume huyu ale mayai yangu, tena yakiwa raw, live kutoka mzingani.
Good boys / men hawawezi kupata mwanamke mzuri kama huyo na kupendwa kama anavyopendwa jamaa. maana good boys na decent men hawana swaga.
mdada kazimikia swaga za bad boys toka usiku ule harusini. alivyofatwa akaombwa kucheza akachezeshwa mziki na akafurahi sana ndio upendo ulipoingia usiku ule.
decent men hawana guts za kumfata mdada na kumfanya ampende sana ndio maana wanakosa wanawake wazuri kama huyu dada.
thats a fact nimekupa[/QUOTE]
Thank you.
Mimi ngoja niseme na mdada, si amesema yupo humu na anasoma haya?
Kama ungekuwa mdogo wangu ningepiga marufuku huyu jamaa kuingia kwetu. eti anakuoa sababu ya mtoto, umewahi fikiria kuwa mtoto ni mali ya Mungu? vipi siku ikatokea hamna huyo/hao watoto? ndo mwisho wa huo muunganiko wenu?
Kwanza huyu jamaa ana dharau sana, amekudharau wewe na ukoo wenu, maana anahisi ukoo unakusukuma umsukume kieleweke. yaani ndoa yenu ni furaha ya ukoo wenu....... kwake yeye ni no way out. Dada utajuta maisha yako yote ukiingia kwenye hii ndoa.
Nini kuwa na mtoto bila ndoa? kwanza ndo habari ya mujini. Una kazi, na maisha yako yanasonga, nini kujiingiza kwenye mtego? siku hizi wakaka wanapenda na wanaoa wadada walio na watoto, hata kama wana pete kidoleni

Mji upi??? tusijidanganye jamani huku ni kupotoshana,
kwa hiyo ni bora aolewe na mkaka ambaye hajawahi tamani kuwa mkewe kuliko kukaa mwenyewe na kulea mwanaye?Mji upi??? tusijidanganye jamani huku ni kupotoshana,
Thank you........Kupotoshwa ni perception yako, inategemea na uliaminishwa nini kuhusu mwanamke. Labda ulikua ukielezwa mwanamke bila ndo hana thamani yeyote, hapo huwezi badilishwa mtizamo kwa sredi tu kama hii.
at first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago.
tukacheza music pamoja. then tukaexchange namba na ikaishia hapo usiku huo.
next weekend saturday daytime tukakutana tena nje ya bank anapofanyia kazi tukapiga sana story that day ikaoshia hapo. j3 yake akaja ofisini kwangu kunipitia na kunipa lifti mpaka home.
j2 iliyofata akaja kushinda kwangu akapika tukala. tukacheka na story nyingi and we ended kissing each other na game ya kirafiki ikafata.
then ikawa taratibu kila wekend we are together kama kumbi kumbi then after a 2 years mwenzangu kabeba mimba na kwao wameanza kumsumbua sumbua nini kinafata.
to be honest I ddnt plan to mary her first as maisha hayajasimama salary lak 7 majukumu kibao but mwenzangu anielewi.
nilikopa 3m ofisin ninunue boxer ya kunisaidia usafiri alipogundua nae akakopa ofisin kwao na kufosi nisinunue pikipiki but niagize kigari na akafanikiwa kunishawishi.
amefanya mambo mengi sana for me but sijawai kutamani awe mke wangu zaidi ya crush.
1. amebeba mimba ili nisimkimbie
2.amenibadilisha sana maisha ananicontrol nisinywe pombe mshahara wangu anau monitor but sijawahi tamani awe wife.
3.zawadi kila kukicha. ananitambulisha kila sehem but sijawahi tamani awe wife.
pamoja sikuliwaza hilo at first nimeamua kumuoa for the sake of my kid.
.......... najua upo humu na umeshalia sana for me,let me hold you on my shoulder for a life time. waaambie nyumbani waandae pilau zito as nakuja jumamosi for a first step Muumba akipenda november nakuweka ndani rasmi