I decide to mary her for the sake of my kid

Bint mzuri sana kuwa mke huyo!
Laiti angepata mwanaume anayemstahili!!!!

Good boys / men hawawezi kupata mwanamke mzuri kama huyo na kupendwa kama anavyopendwa jamaa. maana good boys na decent men hawana swaga.

mdada kazimikia swaga za bad boys toka usiku ule harusini. alivyofatwa akaombwa kucheza akachezeshwa mziki na akafurahi sana ndio upendo ulipoingia usiku ule.

decent men hawana guts za kumfata mdada na kumfanya ampende sana ndio maana wanakosa wanawake wazuri kama huyu dada.

thats a fact nimekupa
 
He he he, unajichimbia kaburi la ndoa. Hakuna ndoa ya huruma, ndoa si kombe kwamba mtu akikushinda kwa wewe kumpa ujauzito, eti umamzawadia. Utajitesa kwa nafsi kukusuta kila ukim-mistreat. Na yeye atakuwa mtumwa kila siku sababu anataka kubaki ndoani na wewe. Kwa kifupi, wote hamtakuwa happily after ever.

Ndoa ni kuhitajiana kwa wawili kuishi kwa hali zote, hata wakiboana vipi, bado kuna ule 'moto' ndani yao unaosema, namhitaji paka.shume huyu ale mayai yangu, tena yakiwa raw, live kutoka mzingani.
Mimi ngoja niseme na mdada, si amesema yupo humu na anasoma haya?
Kama ungekuwa mdogo wangu ningepiga marufuku huyu jamaa kuingia kwetu. eti anakuoa sababu ya mtoto, umewahi fikiria kuwa mtoto ni mali ya Mungu? vipi siku ikatokea hamna huyo/hao watoto? ndo mwisho wa huo muunganiko wenu?
Kwanza huyu jamaa ana dharau sana, amekudharau wewe na ukoo wenu, maana anahisi ukoo unakusukuma umsukume kieleweke. yaani ndoa yenu ni furaha ya ukoo wenu....... kwake yeye ni no way out. Dada utajuta maisha yako yote ukiingia kwenye hii ndoa.
Nini kuwa na mtoto bila ndoa? kwanza ndo habari ya mujini. Una kazi, na maisha yako yanasonga, nini kujiingiza kwenye mtego? siku hizi wakaka wanapenda na wanaoa wadada walio na watoto, hata kama wana pete kidoleni
 
Good boys / men hawawezi kupata mwanamke mzuri kama huyo na kupendwa kama anavyopendwa jamaa. maana good boys na decent men hawana swaga.

mdada kazimikia swaga za bad boys toka usiku ule harusini. alivyofatwa akaombwa kucheza akachezeshwa mziki na akafurahi sana ndio upendo ulipoingia usiku ule.

decent men hawana guts za kumfata mdada na kumfanya ampende sana ndio maana wanakosa wanawake wazuri kama huyu dada.

thats a fact nimekupa[/QUOTE]

Thank you.
 
Bora kama na wewe umeliona hilo.

Akitokea akampenda baadae huko ndoani, ashukuriwe muumba. Lakini asipompenda, ndio ile unaletewa michepuko usoni. Unaweza kujizuia mapenzi kwa muda, lakini huwezi jizuia milele. Imagine huyu kaka aje apate mchepuko, afu aupende, kuna ndoa tena hapa?

Huyu dada angejua, kuzaa kabla ya ndoa si ukoma, mbona mwanamke ana thamani zaidi ya hilo. Mie nilishawahi ona mtu anaenda kuchumbia mdada ana mtoto wa miezi 3 wa mwanamme mwingine, na wala hawakuwahi kuwa na mahusiano, sema tu yule dada alimktakaa. Waowaji wapo tu, uwe umezaa ama hujazaa, mradi tabia yako na utu wako ukusimamie.

Mie ndoa ya msaada siitaki, bora nikazeeka nikiwa na man friend tu.

Mimi ngoja niseme na mdada, si amesema yupo humu na anasoma haya?
Kama ungekuwa mdogo wangu ningepiga marufuku huyu jamaa kuingia kwetu. eti anakuoa sababu ya mtoto, umewahi fikiria kuwa mtoto ni mali ya Mungu? vipi siku ikatokea hamna huyo/hao watoto? ndo mwisho wa huo muunganiko wenu?
Kwanza huyu jamaa ana dharau sana, amekudharau wewe na ukoo wenu, maana anahisi ukoo unakusukuma umsukume kieleweke. yaani ndoa yenu ni furaha ya ukoo wenu....... kwake yeye ni no way out. Dada utajuta maisha yako yote ukiingia kwenye hii ndoa.
Nini kuwa na mtoto bila ndoa? kwanza ndo habari ya mujini. Una kazi, na maisha yako yanasonga, nini kujiingiza kwenye mtego? siku hizi wakaka wanapenda na wanaoa wadada walio na watoto, hata kama wana pete kidoleni
 
Kwa sifa hizo zote usipomuoa utarudi kumtafuta wakati hana nafasi yako tena, wanawake wa upendo huo tuko wachache sana, fanya hima muoe bila kujiuliza, kila la kheri naomba card ya mchango tafadhali usinisahau
 
Frankly speaking wewe jamaa ndio umebahatika katika hii ndoa kama kweli mtaifunga lakini huyu bidada ana bahati mbaya. Namaanisha wewe huhitaji ushauri hapa kama maamzi yako ni kumuoa huyu dada ila huyu dada anapaswa kushauriwa kama anataka kuolewa na wewe kama ulivyojinasibu hapa.
Kama ni cha kiume basi huyu dada kaingia akiwa mtupu na kakutana na mbakaji asiye na huruma wala kujali afya. Hivi wewe bro una nini hasa special kinachokufanya hata udiriki kusema haya dhidi ya mdada unayeamini naye anayasoma haya. Plz mdada usiolewe na jamaa kama kweli unajipenda, wanaume bado tupo endelea kutafuta u ill get wa kwako, huyu si wako.
 
Mimi ngoja niseme na mdada, si amesema yupo humu na anasoma haya?
Kama ungekuwa mdogo wangu ningepiga marufuku huyu jamaa kuingia kwetu. eti anakuoa sababu ya mtoto, umewahi fikiria kuwa mtoto ni mali ya Mungu? vipi siku ikatokea hamna huyo/hao watoto? ndo mwisho wa huo muunganiko wenu?
Kwanza huyu jamaa ana dharau sana, amekudharau wewe na ukoo wenu, maana anahisi ukoo unakusukuma umsukume kieleweke. yaani ndoa yenu ni furaha ya ukoo wenu....... kwake yeye ni no way out. Dada utajuta maisha yako yote ukiingia kwenye hii ndoa.
Nini kuwa na mtoto bila ndoa? kwanza ndo habari ya mujini. Una kazi, na maisha yako yanasonga, nini kujiingiza kwenye mtego? siku hizi wakaka wanapenda na wanaoa wadada walio na watoto, hata kama wana pete kidoleni

Mji upi??? tusijidanganye jamani huku ni kupotoshana,
 
Too bad for her and shame on you mleta uzi

Mkuu hii thread ni dharau kwa huyo mdada kiukweli kabisa maana inaonekana mmekuwa pamoja kwa muda mrefu na inavyoonekana hukuwahi kumwambia wazi kwamba huna mpango wa kumuoa ila unataka company tu.Kwa maana hiyo ulikuwa unamchezea na unamuona mwenzio hana vigezo kuwa mke wako.

Nakuonea huruma sababu wewe u aonekana ni wale watu wanaodhani kuwa mke ni uzuri wa sura na shape.Sipo kwenye ndoa lakini kwa uzoefu wangu wa mahusiano asilimia kubwa ya wadada warembo hawafai kuishi nao kama mke.

Tofautisha mke na girlfriend,kama unataka mke basi tayari unaye na mmesha jaliwa mtoto otherwise utakuja kuoa girlfriend material.Kama ni mwaminifu,ana hofu ya Mungu na ana akili ya maisha then fanya umuoe na achana na habari kuwa humpendi wakati ulikuwa una enjoy kuwa naye b4 hajapata ujauzito.
 
Kupotoshwa ni perception yako, inategemea na uliaminishwa nini kuhusu mwanamke. Labda ulikua ukielezwa mwanamke bila ndo hana thamani yeyote, hapo huwezi badilishwa mtizamo kwa sredi tu kama hii.

Mji upi??? tusijidanganye jamani huku ni kupotoshana,
 
I feel so so so sorrryyy for her. If I were her, the relationship would end instantly after reading this humiliating piece!!! Umeshindwa kumwambia straight hadi umtundike hapa?? Siku mkishindwana kwa ndoa ya kulazimisha uje kuandika tena hapa. Karibu, hope I will be alive to witness the mess!!! Ndoa si mchezo ni upendo ni kuchukuliana ni commitment!!
 
at first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago.

tukacheza music pamoja. then tukaexchange namba na ikaishia hapo usiku huo.

next weekend saturday daytime tukakutana tena nje ya bank anapofanyia kazi tukapiga sana story that day ikaoshia hapo. j3 yake akaja ofisini kwangu kunipitia na kunipa lifti mpaka home.

j2 iliyofata akaja kushinda kwangu akapika tukala. tukacheka na story nyingi and we ended kissing each other na game ya kirafiki ikafata.

then ikawa taratibu kila wekend we are together kama kumbi kumbi then after a 2 years mwenzangu kabeba mimba na kwao wameanza kumsumbua sumbua nini kinafata.

to be honest I ddnt plan to mary her first as maisha hayajasimama salary lak 7 majukumu kibao but mwenzangu anielewi.

nilikopa 3m ofisin ninunue boxer ya kunisaidia usafiri alipogundua nae akakopa ofisin kwao na kufosi nisinunue pikipiki but niagize kigari na akafanikiwa kunishawishi.

amefanya mambo mengi sana for me but sijawai kutamani awe mke wangu zaidi ya crush.

1. amebeba mimba ili nisimkimbie

2.amenibadilisha sana maisha ananicontrol nisinywe pombe mshahara wangu anau monitor but sijawahi tamani awe wife.

3.zawadi kila kukicha. ananitambulisha kila sehem but sijawahi tamani awe wife.

pamoja sikuliwaza hilo at first nimeamua kumuoa for the sake of my kid.

.......... najua upo humu na umeshalia sana for me,let me hold you on my shoulder for a life time. waaambie nyumbani waandae pilau zito as nakuja jumamosi for a first step Muumba akipenda november nakuweka ndani rasmi

There u are....simple...u wil realize kua umemuoa coz u have to and it suppose to be the way....time is the best judge...
 
sas ndugu kwani vipi uje kumwaga maneno huku??unaomba ushauri au ni vipi aisee??
 
Back
Top Bottom