I decide to mary her for the sake of my kid

I decide to mary her for the sake of my kid

Miti na wajenzi never coexist! That is natural darling.

howz my nephew 'aliejaaliwa'? Hahaha get used to it banaa
Such a shame, eh?

Lil Man is fine, ndo kameamka kanacheza.🙂

Thanks for asking.
 
Yaani yaani yaani unafanya makosa makubwa sana
kumbe unamuoa kwa sababu tu ana mimba yako
utakuja juta ndani ya ndoa nyumba ndogo hazitakosekana kwako
pole!
 
Ni changamoto gani kubwa sana za kulea mtoto peke yako?

Afu linganisha na changamoto za kuishi na mume aliyekuoa kwa huruma(bila upendo)

sawa hakuna maisha yasiyo na changamoto lakini bidada maji yameshamwagika kuliko kuwa single mom heri aolewe changamoto za kumlea mtoto peke yako ni kazi mpaka afikie hatua za kujitegemea zaidi kihisia na dunia yenyewe hii inaelekea ukingoni
mwanamke kapewa kipaji cha ushawishi akiendelea kumtendea mema huyo mumewe mtarajiwa mambo yanaweza yakajiset who knows
 
at first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago.

tukacheza music pamoja. then tukaexchange namba na ikaishia hapo usiku huo.

next weekend saturday daytime tukakutana tena nje ya bank anapofanyia kazi tukapiga sana story that day ikaoshia hapo. j3 yake akaja ofisini kwangu kunipitia na kunipa lifti mpaka home.

j2 iliyofata akaja kushinda kwangu akapika tukala. tukacheka na story nyingi and we ended kissing each other na game ya kirafiki ikafata.

then ikawa taratibu kila wekend we are together kama kumbi kumbi then after a 2 years mwenzangu kabeba mimba na kwao wameanza kumsumbua sumbua nini kinafata.

to be honest I ddnt plan to mary her first as maisha hayajasimama salary lak 7 majukumu kibao but mwenzangu anielewi.

nilikopa 3m ofisin ninunue boxer ya kunisaidia usafiri alipogundua nae akakopa ofisin kwao na kufosi nisinunue pikipiki but niagize kigari na akafanikiwa kunishawishi.

amefanya mambo mengi sana for me but sijawai kutamani awe mke wangu zaidi ya crush.

1. amebeba mimba ili nisimkimbie

2.amenibadilisha sana maisha ananicontrol nisinywe pombe mshahara wangu anau monitor but sijawahi tamani awe wife.

3.zawadi kila kukicha. ananitambulisha kila sehem but sijawahi tamani awe wife.

pamoja sikuliwaza hilo at first nimeamua kumuoa for the sake of my kid.

.......... najua upo humu na umeshalia sana for me,let me hold you on my shoulder for a life time. waaambie nyumbani waandae pilau zito as nakuja jumamosi for a first step Muumba akipenda november nakuweka ndani rasmi
Hebu picha yake tukushauri vizuri kabla ya kwenda kwao kujitambulisha.
 
Baadhi ya wanaume ndivyo walivyo, hawako romantic kabisa. Bibie kajua kwamba yeye ni bi harusi mtarajiwa kupitia JF!!!!! What a shame!!!!

There is no speck of romance here.

What has the woman done except change him for the better and now his life seems to be better with a woman in it?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni changamoto gani kubwa sana za kulea mtoto peke yako?

Afu linganisha na changamoto za kuishi na mume aliyekuoa kwa huruma(bila upendo)

Bado mdog huyo hajaelewa the lengths you can cross for your kids.

Mtto anakupa nguvu watu wengine wote unawaona washenzi.

Kulewa na mtu asiekupenda unaona ni kujitupa kabisaaaaa.
 
at first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago.
Vijana mna kazi kweli yaani 2 yrs bado mnakrashiana tu huku mkifanya yote ambayo wapendanao hufanya. Ama kweli moyo wa mtu hubeba siri nzito. Masikini binti wa watu alifikiri anapendwa kumbe wewe hukuwa na mpango wowote juu yake. Nimeamini wanawake hupenda kweli kweli na ni vigumu kwao kuigiza, Kumbe kupata mtu mkweli ni lazima umuombe Mungu kwani huwezi kumtambua mtu kwa kumtazama. Haya sasa unamuoa sababu ya ujauzito tu na si kwa sababu umempenda naogopa maisha ya ndoa mtakapoyaanza na kugundua kasoro zake sijui kama utakua mwaminifu kwake na kuchukuliana nae kwa upendo.
 
Ni changamoto gani kubwa sana za kulea mtoto peke yako?

Afu linganisha na changamoto za kuishi na mume aliyekuoa kwa huruma(bila upendo)

changamoto za kulea mtoto alone
kuna ada, bills zote ni wewe, kuna changamoto za kuhakikisha mtoto haanguki katika makundi mabaya madawa ya kulevya baki mimba za utotoni haya kuna wafuasi wa cameroon ukiwa peke yako lazima kichwa kiume wallah kulea si lelemama
sauti ya baba ni muhimu
changamoto moto za kuolewa na mume aliekuoa kwa huruma ya mtoto ni za muda tu atabadirika mbeleni
 
Oa kwasabu unampenda only usitafute excuses nying!!! Ya Mungu mengi hatuombei kwa mfano mimba ikaharibika soon after marriage au mtoto akafariki will you still hold her????? Kama ni kwaajili ya mtoto tu please muache kwa amani atalia sana lakini atapona.

N.B Kuna mambo yalikuja kama mazuri yakawa na mwisho mbaya na kuna mambo yalikuja kama mabaya yakawa na kusudi na mwisho ukawa mzuri.
 
I swear I would really hate to be her.

Damn.

How cold and heartless of you?

Umeshindwa kutafuta alternative means za kumjulisha your exact sentiments?

That woman is a gem that many men all over are seeking but it keeps eluding them.

You are a lucky man but just won't see it until its too late.

Dear Karucee kila shetani na mbuyu wake, ninachoamini huyo mwanamke kampenda mchizi na hizo care ni out of love Ila Inawezekana akipata mwanaume mwingine anayempenda zaidi ya anavyopenda yeye anaweza akawa Pasua kichwa tu
 
Last edited by a moderator:
changamoto za kulea mtoto alone
kuna ada, bills zote ni wewe, kuna changamoto za kuhakikisha mtoto haanguki katika makundi mabaya madawa ya kulevya baki mimba za utotoni haya kuna wafuasi wa cameroon ukiwa peke yako lazima kichwa kiume wallah kulea si lelemama
sauti ya baba ni muhimu
changamoto moto za kuolewa na mume aliekuoa kwa huruma ya mtoto ni za muda tu atabadirika mbeleni

Thats the biggest mistake many men and women make when getting into marriage with such a mindset.

The man hopes she will never change.

And the woman hopes he will change.

Well with time this hope comes down to a marriage full of bitterness and regret.

I can show you fine young men who have grown up without a father figure in their lives and they turned out just fine.
 
Dear Karucee kila shetani na mbuyu wake, ninachoamini huyo mwanamke kampenda mchizi na hizo care ni out of love Ila Inawezekana akipata mwanaume mwingine anayempenda zaidi ya anavyopenda yeye anaweza akawa Pasua kichwa tu

That's a topic for another day.

Could we stick with what we have been served with?
 
Thats the biggest mistake many men and women make when getting into marriage with such a mindset.

The man hopes she will never change.

And the woman hopes he will change.

Well with time this hope comes down to a marriage full of bitterness and regret.

I can show you fine young men who have grown up without a father figure in their lives and they turned out just fine.

nakubali wapo waliolelewa na mama na wakawa watoto mfano wa kuigwa lakini ni moja ya kumi ya watoto wote usisahau mabadiliko yapo tunayavuta sisi au kuyakimbiza sisi wenyewe
jaribuni kujiweka nafasi ya huyo dada
 



"Can't Raise A Man"


Cant raise a man
Mmh mm
Ahh ah ah ahhh ah ahhh ah ah ahh


Listen,
He got older, but never grew,


K. Michelle kapatia sana hapo!

Sikujua anaweza kuimba. Nilikuwa nalijua tu jina lake kupitia ile show ya Love & Hip Hop: Atlanta.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Such a shame, eh?

Lil Man is fine, ndo kameamka kanacheza.🙂

Thanks for asking.

sister kiukweli kumpenda nampenda na sijawai kumcheat toka tulipoanza mahusiano.

the thing ni kwamba sijajipanga kimaisha na income yangu sio nzuri.

nahisi a deserve kuolewa na mtu kama mimi buy she deserve better.

but nime conclude for benefits of my kid namuoa hivyo hivyo bila kujipanga na sina cha kumlipa zaidi ya kumpenda sana na sana.

kiukweli mwanzo.nilipanga kumega kisela as sikuwa tayari kwa majukumu hadi nikae sawa as i am 27 now. a same age with my fiancee.


but for the sake of my kid, hisia zake kwangu, upendo aliowekeza kwangu nimeamua kumuoa bila kujipanga na nina imani Mungu atanionesha njia.

na next week naanza first step
 
Back
Top Bottom