I am stuck nisaidieni malezi

I am stuck nisaidieni malezi

Hujui ka nimeshindwa au lah acha kuwa delusional 🙂 na watu wengi wamerudia hayo hayo nilosema mm afundishwe kuhusu ukaribu wake na wanaume na athari zake lkn yoteee hamyaoni mmeyaona ya gorgeousmimi tu lol 🙂

nisamehe mimi ilikuwa ajali tu kuku quote anyway ni hayo tu
 
Last edited by a moderator:
Viboko mwisho miaka 7...
Zaidi ya hapo watoto wa kizazi hiki utamtandika aende kubwia vidonge...

Mazungumzo yanasaidia...
Avunje ukimya...aongee nae...

Kuanza kuwa attracted na jinsia ya kiume ni natural...ila anatakiwa awe na ufahamu wa madhara kama mimba na magonjwa...

Na akanywe kutotamani kaka zake...maana hiyo ni abomination

hehehehehe mwisho miaka saba? heeeeee hii Kali! Mtoto wa hivi lazima akuburute kabisa! duuu yani mtoto unamnyima kiboko akifika la tatu?

Ukiona mtoto unampa zawadi ya viboko halafu anakutishia kubwia vidonge ujue unamlea kwa deko na umemshindwa na wa hivyo hashindwi kukupiga!

Viboko vinasaidia sana na vina shape kabisa mtoto anapo shindwa kufata alichoa ambiwa!

Watoto walio nyimwa viboko ni mizigo zaidi ya Zege!
 
Watoto wa siku hizi wanajua haki zao si wa mwaka 47
Na kiboko si kulea ila ni uvivu wa kulea (short cut)
Mimi wanangu wana nidhamu ya hali ya juu...lakini si sababu ya fimbo...nawapa heshima wanayostahili...kwa kuwa wanapenda kusheshimiwa si kudhalilishwa...

Kama mzazi natumia muda mwingi ku communicate na si kutandika mtoto...

Hiyo ya miaka saba ni kisaikolojia...
Wazazi muwe na tabia ya kusoma vitabu vya saikolojia...itawasaidia kuwafahamu vyema watoto wenu...

Na si kweli kuwa watoto wasipigwa ni mzigo...
Ingekuwa kweli basi watoto wa kikurya wangeongoza kwa nidhamu...

Mimi mwenyewe nimelelewa kwa kuelekezwa na kuwa na urafiki wa karibu na baba yangu...
Na sijaharibikiwa wala kuwa mzigo kwa yeyote...

Hayo ni mawazo potofu tu...

Kwanza the opposite is true...mitoto mitukutu ndio inongoza kwa kutoka familia za viboko...washakuwa sugu...

Na ndio maana ile clip ya yule HG wa Uganda HG alisema hata mama yake mtoto huwa anampiga huyo mtoto...
Hiki niliki note ila kwa kuwa watu walikuwa na hasira sikutaka kukizungumzia...
Mama mwenyewe kumbe katili...na HG akajua ruksa kupiga...

hehehehehe mwisho miaka saba? heeeeee hii Kali! Mtoto wa hivi lazima akuburute kabisa! duuu yani mtoto unamnyima kiboko akifika la tatu?

Ukiona mtoto unampa zawadi ya viboko halafu anakutishia kubwia vidonge ujue unamlea kwa deko na umemshindwa na wa hivyo hashindwi kukupiga!

Viboko vinasaidia sana na vina shape kabisa mtoto anapo shindwa kufata alichoa ambiwa!

Watoto walio nyimwa viboko ni mizigo zaidi ya Zege!
 
Kaunga umeshtushwa na mtoto kukaa sofa moja na kaka yake...

Mbona mie na ndugu zangu tulikuwa tunagombea kukaa next na baba yetu...(si ma kaka sababu tulikuwa tunagombana nao sana)...
Ni kawaida sana ...just brotherly love...

Ila sasa kama kaka ana complain yeye ndie atakuwa na roho ya kutenda dhambi...
Hivyo ni bora umwambie tu kaka yako hataki ukae close nae...

Niko juu juu barabarani.
binti analala na aunt yake mdogo chumba cha wadada, ndio maana kitendo cha kukaa sofa moja na kaka yake kilitustua
 
Ndio nachosema...ni kujenga chuki tu kwa mtoto...mtoto anakunjwa akiwa below 7...kama ulishindwa huko baaas...utakuwa unamaliza hasira zako tu kumpiga...haisaidii...

miaka 16 fimbo haisaidii nadhani huko alikokuwa yuko huru sana thats why ku act hivyo haoni shida mi nakumbuka unapovunja ungo mazoea na kaka unapunguza pia kuna aibu na ka heshima flani kanakuja automatically kukaa kochi moja sio shida ila kulaliana na kuegemeana mmmh hapana aonywe kuna mipaka lazima iwepo na aitambue
 
Hakika nakwambia, binti akishaonja bakora ya nyama, hata umkate kate na panga kuacha ni ngumu. Hebu fikiria unono wa ogazimu afu mtu akwambia uukose kisa fimbo ya siku ya siku moja? Hata wakate kiuno lazima arudie, bora kumwelekeza afnaye ngono kwa usahihi.

Kama kalelewa kwenye dini basi dini ihusishwe.

Hahaha kumbe bakora ya nyama ni hatari kabisa.
Hako kamchezo kwa asili ni balaa sana.
Swali la kizushi......hivi mbona hapo kitambo mabinti 16 walikuwa wanaolewa kabisa na kuanzisha family ilikuwaje?
 
Niko juu juu barabarani.
binti analala na aunt yake mdogo chumba cha wadada, ndio maana kitendo cha kukaa sofa moja na kaka yake kilitustua

Aiseeeeh naona watu wanatiririka tu na naona wameshahukumu tayari.
Amini nakuambia mnayodhani mnaweza kuta siyo , mkamuharibu kisaikolojia huyo binti.
 
Hujui ka nimeshindwa au lah acha kuwa delusional 🙂 na watu wengi wamerudia hayo hayo nilosema mm afundishwe kuhusu ukaribu wake na wanaume na athari zake lkn yoteee hamyaoni mmeyaona ya gorgeousmimi tu lol 🙂

Hongera

Watu kurudia uliyoyasema pia ni hatua kubwa maishani.
 
Last edited by a moderator:
Hongera

Watu kurudia uliyoyasema pia ni hatua kubwa maishani.

We si umesema ushauri wangu hauna maudhui ww sasa ushauri asilimia kubwa hapa hauna maudhui kama ni hivo na ww ndo genius letu au vp!
 
We si umesema ushauri wangu hauna maudhui ww sasa ushauri asilimia kubwa hapa hauna maudhui kama ni hivo na ww ndo genius letu au vp!

Maudhui=ujumbe(yaliyolengwa kusemwa)

Mashiko=kitu chenye kutiliwa maanani

Faida=mambo yasababishwayo na jambo fulani.

Nadhani unahitaji kuelewa maneno hayo vizuri zaidi...ndio uangali kama nilisema posti yako haina M A U D H U I.
 
Sidhani hata kama unafaham unasema nini anyway nikutakie wakati mwema mwaya 🙂
 
Sidhani hata kama unafaham unasema nini anyway nikutakie wakati mwema mwaya 🙂

Namaanisha hiviii

Sikusema posti yako haina maudhui(ujumbe) bali nilisema haina mashiko kwakua faida hujaweka...hapo utakua umeelewa sasa.
 
Somehow nakubaliana na wewe. Kijana wangu aliniuliza, hivi kwa nini huwa unanichapa sometimes? NIkamjibu, husikii.

Akanijibu, baba ahajawahi kunichapa, lakini namwogopa na kumsikiliza karibu kila kitu.

Na ni kweli, nikabaki najiuliza tu kichwani, ila aliniachia changamoto.

Na si kweli kuwa watoto wasipigwa ni mzigo...
Ingekuwa kweli basi watoto wa kikurya wangeongoza kwa nidhamu...
 
Kuchapa viboko sio solution japo ukishtualiwa kidogo inasaidia. Sio ile to much.
 
Haya mambo ya kuchapana tumerithishana tu...lakini si effective kihivyo...
Basi watoto wa wazungu wangekuwa majangiri...yes wanaweza kuwa watundu utotoni lakini wakikuwa wengi ni responsible and 'civilized' citizens...

Haina maana kuwa wananangu hawajachapwa (hasa na baba yao) lakini kwa sasa mkubwa (7 years) hachapwi...maana anajiheshimu, anatuheshimu na anapenda kuheshimiwa...

Lakini nakumbuka akiwa nursery baba yao kuna siku alimpiga alikuwa anazubaa huku gari ya shule imeshfika kuwapitia...alilia...akawa anamwambia asipokimbia kwenye gari atamuongezea...aligoma...mpaka alipomaliza kulia na kufuta machozi ndio akaenda kwenye gari kwa muda wake...

Mimi nikawambia hubby...xxx hamegoma kwenda kwenye gari sababu hawezi kwenda analia...wenzake watamcheka...children need to be respected as welll...ukimpiga tena mbele ya wenzie unamdhalilisha kama vile ingekuwa wewe unapigwa mbele ya marafiki zako...

Kuna ways nyingi sana za ku punish watoto...sisi tunadhani ni fimbo tu...

Somehow nakubaliana na wewe. Kijana wangu aliniuliza, hivi kwa nini huwa unanichapa sometimes? NIkamjibu, husikii.

Akanijibu, baba ahajawahi kunichapa, lakini namwogopa na kumsikiliza karibu kila kitu.

Na ni kweli, nikabaki najiuliza tu kichwani, ila aliniachia changamoto.
 
Mbona mimi sioni tatizo kama anajenga mazoea hayo na kaka yake ni njia mojawapo ya kuonesha upendo it all seems so innocent!kwa umri huo damu inamchemka na probably ameshavunja ungo kwahio mshawasha wa mambo ya kikubwa unakuwa juu chakufanya ni akalishwe chini afundwe kuwa msichana hatakiwi kuwa na mazoea ya karibu na mwanaume kutokana na umri wake hasa mwanaume yoyote na apewe consenquences!mm nakumbuka nilipobalehe nilipewa kungwi akanifundisha mengi tu kuahusiana na mabadiliko ya mwili wangu na mazoe na wanaume hata kuavoid kukutana kimwili na mwanaume kabla ya ndoa!

ili sharti la kutokukutana kimwili kabla ya ndoa ulifanikiwa????
 
Asanteni kwa ushauri, nimeufanyia kazi na naendelea nao. Nimejaribu kuwa karibu naye, nimelala naye siku kama tatu hivi. Anaweweseka sana usiku na kuhangaika. Asubuhi moja nimeongea naye sana. Nimejishusha ana ameanza kuwa wazi kidogo, na ameniahidi kuniambia tatizo lolote atakalokuwa nalo.

Pressure ya wanaume ni kubwa kuanzia headmaster hadi wanafunzi wenzake (anasoma shule ya kanisa). Kabla ya hiyo shule alikuwa anasoma girls only school, amekiri kulikuwa na usagaji.

Nimemueleza shida ya kuanza mapenzi akiwa na umri mdogo, ninaenda naye kwenye mikutano ya dini (charismatic) na ameniambia hajapoteza usichana wake. So I am still trying hard kumpa faida na hasara ya kujiingiza ktk mapenzi mapema kwa kutumia mifano ya watu anaowafahamau. Natumaini Mungu atamnusuru.

Kweli kulea watoto wa kike kazi, nimezoea midume tu.

asanteni wote kwa michango yenu
 
Back
Top Bottom