I am stuck nisaidieni malezi

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,471
Kweli ukubwa jalala.

Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake alishatangulia mbinguni.

Binti ni mrembo sana kama ambavyo binti at 16 anavyokuwa. Amelelewa umamani ingawa anakuwa boarding muda mwingi. Mama yake mkubwa ambaye alikuwa akiishi naye kaolewa na waarabu hivyo ndugu zake alikua nao ni wa mila za kiarabu.

hapa pia nina watoto wengine wa dada zangu ambao ni wa kiume. Sasa binti anakuwa na mazoea ya ajabu na kijana mmoja, kiasi kwamba hadi kijana amehisi tofauti na kunionya kuwa nimuangalie cousin wake asije akaharibikiwa.

Katika kutafuta pa kuanzia si nikamuuliza mdogo wangu wa kike. Naye kanipa observations zake na zaidi ni kuwa wakilala kitandani anamkumbatia.

Sasa sijui nianzie wapi. Naongea naye nini? Je ni mila za kiarabu binti kuwa karibu na kaka mtu kiasi cha kukaa huku umemuegemea? Na kwamba akiondoka unalia? Maana kijana imebidi afunge simu.

BTW simu sijampa anatumia ya maid au aunt yake mdogo.

nimechanganyikiwa
 
Kweli ukubwa jalala.
Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake alishatangulia mbinguni. Binti ni mrembo sana kama ambavyo binti at 16 anavyokuwa. Amelelewa umamani ingawa anakuwa boarding muda mwingi. Mama yake mkubwa ambaye alikuwa akiishi naye kaolewa na waarabu hivyo ndugu zake alikua nao ni wa mila za kiarabu.

hapa pia nina watoto wengine wa dada zangu ambao ni wa kiume. Sasa binti anakuwa na mazoea ya ajabu na kijana mmoja, kiasi kwamba hadi kijana amehisi tofauti na kunionya kuwa nimuangalie cousin wake asije akaharibikiwa.

Katika kutafuta pa kuanzia si nikamuuliza mdogo wangu. Naye kanipa observations zake na zaidi ni kuwa wakilala kitandani anamkumbatia.

Sasa sijui nianzie wapi. Naongea naye nini? Je ni mila za kiarabu binti kuwa karibu na kaka mtu kiasi cha kukaa huku umemuegemea? Na kwamba akiondoka unalia? Maana kijana imebidi afunge simu.

BTW simu sijampa anatumia ya maid au aunt yake mdogo.

nimechanganyikiwa
Sijaelewa hapo kwenye bold huyo mdogo wako uliyekuwa unamuuliza ni kiume au wa kike? sijaelewa kwakweli
 
Mbona mimi sioni tatizo kama anajenga mazoea hayo na kaka yake ni njia mojawapo ya kuonesha upendo it all seems so innocent!kwa umri huo damu inamchemka na probably ameshavunja ungo kwahio mshawasha wa mambo ya kikubwa unakuwa juu chakufanya ni akalishwe chini afundwe kuwa msichana hatakiwi kuwa na mazoea ya karibu na mwanaume kutokana na umri wake hasa mwanaume yoyote na apewe consenquences!mm nakumbuka nilipobalehe nilipewa kungwi akanifundisha mengi tu kuahusiana na mabadiliko ya mwili wangu na mazoe na wanaume hata kuavoid kukutana kimwili na mwanaume kabla ya ndoa!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mbona mimi sioni tatizo kama anajenga mazoea hayo na kaka yake ni njia mojawapo ya kuonesha upendo it all seems so innocent!kwa umri huo damu inamchemka na probably ameshavunja ungo kwahio mshawasha wa ile kitu ya kikubwa unakuwa juu chakufanya ni akalishwe chini afundwe kuwa msichana hatakiwi kuwa na mazoea ya karibu na mwanaume kutokana na umri wake hasa mwanaume yoyote na apewe consenquences!mm nakumbuka nilipobalehe nilipewa kungwi akanifundisha mengi tu kuahusiana na mabadiliko ya mwili wangu na mazoe na wanaume hata kuavoid kukutana kimwili na mwanaume kabla ya ndoa!

Hili lilitimia ??
 
Huyo mdogo wako ni wakike au wakiume?
Huwa wanalala pamoja usiku?
Huyo binti ana lala na nani?
Kaa nae chini muwe kama mnapiga story kirafiki na umpeleleze na mwisho utachomeka uliyo yasikia au kuambiwa hata akikataa mwambie hutegemei kusikia au kuona hayo yakitendwa na yeye!

Ukiona kaendelea anza kutembeza bakora maana usipo mkanya mapema ata haribika kweli maana ameanza kupagawa na joto la mwili!

Usihofu kumkanya au kumpa haki ya bakora kama itawezekana maana huyo ni mwanao kabisa!
 
Binti anafidia upendo wa baba alioukosa!
Watu wa aina hii wanakosa 'love company' na sio 'sex company'.
Ukisha mweleza uzuri na hatari zilizopo basi
Upande unaopaswa kusimama ni katikati, usimbane sana wala usimpe uhuru sana.
^^
 
KWA UFUPI sioyo mila ila ni tabia tu za hao...
Kweli ukubwa jalala.

Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake alishatangulia mbinguni.

Binti ni mrembo sana kama ambavyo binti at 16 anavyokuwa. Amelelewa umamani ingawa anakuwa boarding muda mwingi. Mama yake mkubwa ambaye alikuwa akiishi naye kaolewa na waarabu hivyo ndugu zake alikua nao ni wa mila za kiarabu.

hapa pia nina watoto wengine wa dada zangu ambao ni wa kiume. Sasa binti anakuwa na mazoea ya ajabu na kijana mmoja, kiasi kwamba hadi kijana amehisi tofauti na kunionya kuwa nimuangalie cousin wake asije akaharibikiwa.

Katika kutafuta pa kuanzia si nikamuuliza mdogo wangu. Naye kanipa observations zake na zaidi ni kuwa wakilala kitandani anamkumbatia.

Sasa sijui nianzie wapi. Naongea naye nini? Je ni mila za kiarabu binti kuwa karibu na kaka mtu kiasi cha kukaa huku umemuegemea? Na kwamba akiondoka unalia? Maana kijana imebidi afunge simu.

BTW simu sijampa anatumia ya maid au aunt yake mdogo.

nimechanganyikiwa
 
Mmh, 16? KAma hajaanza kucharazwa ni rahisi kumsaidia, ila kama keshaanza ngumu kidogo. Halafu inategemea na mazoea kati yenu, kama anaweza kuwa muwazi kwako.

Ila cha msingi ni kumjulisha kuwa genye zipo tu, na vivulana vipo tu, kuna magonjwa na mimba za utotoni. Ila ili ujue cha kusema, lazima ujue stage yake ya mahusiano ya kingono ni ipi.
 
Unachapwa tu kama haueleweki.Tena angekuwa kwa mama yangu ndio angejua maana ya fimbo hata uwe na 20 na ushee ukimzingua mama yangu anakupiga tu

Hahahaaa ma mkwe kiboko asije akanichapa tu....nafungasha
 
Back
Top Bottom