I am stuck nisaidieni malezi

I am stuck nisaidieni malezi

Asanteni kwa ushauri, nimeufanyia kazi na naendelea nao. Nimejaribu kuwa karibu naye, nimelala naye siku kama tatu hivi. Anaweweseka sana usiku na kuhangaika. Asubuhi moja nimeongea naye sana. Nimejishusha ana ameanza kuwa wazi kidogo, na ameniahidi kuniambia tatizo lolote atakalokuwa nalo.

Pressure ya wanaume ni kubwa kuanzia headmaster hadi wanafunzi wenzake (anasoma shule ya kanisa). Kabla ya hiyo shule alikuwa anasoma girls only school, amekiri kulikuwa na usagaji.

Nimemueleza shida ya kuanza mapenzi akiwa na umri mdogo, ninaenda naye kwenye mikutano ya dini (charismatic) na ameniambia hajapoteza usichana wake. So I am still trying hard kumpa faida na hasara ya kujiingiza ktk mapenzi mapema kwa kutumia mifano ya watu anaowafahamau. Natumaini Mungu atamnusuru.

Kweli kulea watoto wa kike kazi, nimezoea midume tu.

asanteni wote kwa michango yenu

Yap! Limama hilo! Hongera mpaka hapo kuna matumaini.
 
Watoto wa siku hizi wanajua haki zao si wa mwaka 47
Na kiboko si kulea ila ni uvivu wa kulea (short cut)
Mimi wanangu wana nidhamu ya hali ya juu...lakini si sababu ya fimbo...nawapa heshima wanayostahili...kwa kuwa wanapenda kusheshimiwa si kudhalilishwa...

Kama mzazi natumia muda mwingi ku communicate na si kutandika mtoto...

Hiyo ya miaka saba ni kisaikolojia...
Wazazi muwe na tabia ya kusoma vitabu vya saikolojia...itawasaidia kuwafahamu vyema watoto wenu...

Na si kweli kuwa watoto wasipigwa ni mzigo...
Ingekuwa kweli basi watoto wa kikurya wangeongoza kwa nidhamu...

Mimi mwenyewe nimelelewa kwa kuelekezwa na kuwa na urafiki wa karibu na baba yangu...
Na sijaharibikiwa wala kuwa mzigo kwa yeyote...

Hayo ni mawazo potofu tu...

Kwanza the opposite is true...mitoto mitukutu ndio inongoza kwa kutoka familia za viboko...washakuwa sugu...

Na ndio maana ile clip ya yule HG wa Uganda HG alisema hata mama yake mtoto huwa anampiga huyo mtoto...
Hiki niliki note ila kwa kuwa watu walikuwa na hasira sikutaka kukizungumzia...
Mama mwenyewe kumbe katili...na HG akajua ruksa kupiga...

Hakuna mama anaekiri wanae wana tabia mbaya!:becky:
 
hehehehehe mwisho miaka saba? heeeeee hii Kali! Mtoto wa hivi lazima akuburute kabisa! duuu yani mtoto unamnyima kiboko akifika la tatu?

Ukiona mtoto unampa zawadi ya viboko halafu anakutishia kubwia vidonge ujue unamlea kwa deko na umemshindwa na wa hivyo hashindwi kukupiga!

Viboko vinasaidia sana na vina shape kabisa mtoto anapo shindwa kufata alichoa ambiwa!

Watoto walio nyimwa viboko ni mizigo zaidi ya Zege!

Naunga mkono hoja mheshimiwa Spika.
 
Kuna watu wamesema kuna 'love attachment' na 'sexual attachment'. Kuna umuhimu sana wa kimama kuangalia saikilojia ya huyo mtoto. Hasa kujua shida iko wapi. Kwa sababu;

a) Aliishi na mama yake (Kwa bahati mbaya kafariki) kwa waarabu(no offense). Najua kule alikuwa spaced out. hata kama walimkubali hakublend in completely kwa sababu kazaliwa nje ya ndoa. Sasa yule mama ambaye kwa kule ndo alikuwa attached kafariki. Akaja kwenu. Nyinyi ndo ndugu zake. She is obviously afraid of loosing any of you! Hata mtu akiondoka anaogopa because people have been moving out of her life continouosly and she is still young!

Just mwangalieni tusikimbilie kwenye sexual attraction tukafail kuona makubwa anayopitia huyo mtoto ambayo yanaweza kumshape kisaikolojia. It is risky(if it could be otherwise), ila chukua muda kumjua zaidi. Ndio majukumu yetu tena wazazi. You have to really know your kids if you want to bring them up well.

b) Inawezekana ndo mihemko ya kuingia ukubwani tena, huku ikichanganywa na boarding experience 🙁. Which is very dangerous. Kama case ndo hii, jaribu kumpeleka kwa wamama wakubwa na wewe ukiwemo. Probably shangazis, wamuelekeze risks na precautions za kuchukua. KIsha mweke kerosene kwa chakula kupunguza genye(kidding! i don't even know if this really works ila nahisi nilishaconsume lita kadhaa za hii makitu huko kwa boarding)
 
Back
Top Bottom