I am stuck nisaidieni malezi

Kwa hiyo kwa tabia hizi alizonazo binti unahakika kabisa mama ake alitangulia mbinguni??!!
 
I thought hio ni normal tradition haihusiani specific na maisha yangu tu so yaliojiri kwangu haimuhusu yoyote si wewe na si yoyote mwengine anayeshabikia!

Sawa mkuu.Basi ushauri wako hauna mashiko.

Ngoja tuangalie wanaotoa ushauri na faida zilizopatikana hazifichwi...hiyo inamashiko zaidi ya NADHARIA zako.
 
Mila za Waarabu wengi zinakuwa based kwenye mafundisho ya Kiisla

Having this in mind dini inasema watoto watakapo timiza umri wa miaka 10 watenganishwe vyumba.

I stand to be corrected.
 
Sawa mkuu.Basi ushauri wako hauna mashiko.

Ngoja tuangalie wanaotoa ushauri na faida zilizopatikana hazifichwi...hiyo inamashiko zaidi ya NADHARIA zako.

Mnaharibu maudhui ya uzi!Hakuna ulolisema hata moja lenye manufaa kwa muanzisha uzi zaidi ya kufanya comment yangu big deal!JF imekuwa ya kitoto sana siku hizi inasikitisha!
 
Mnaharibu maudhui ya uzi!Hakuna ulolisema hata moja lenye manufaa kwa muanzisha uzi zaidi ya kufanya comment yangu big deal!JF imekuwa ya kitoto sana siku hizi inasikitisha!

Si lazima nichangie kwenye mada kuu..hata kuongezea kwenye ushauri uliotolewa pia ni mchango...

lakin haina shida..kama hutaki mchango wako uongezewe neno.
 
Back
Top Bottom