I am stuck nisaidieni malezi

Mila za Waarabu wengi zinakuwa based kwenye mafundisho ya Kiisla

Having this in mind dini inasema watoto watakapo timiza umri wa miaka 10 watenganishwe vyumba.

I stand to be corrected.

Karucee mi nafikiri kuwatenganisha vyumba watoto wa kiume na wakike ni utaratibu unao takiwa kufatwa na walezi wote hasa watoto wakifikia umri kama huo! Hii inasaidia sana kuepukana na haya yote!

Mimi nimemuuliza huyu mtoto ana lala na nani? maana nilitegemea kwa usalama wa huyo binti ni bora alale chumba kimoja na maid!
 
Last edited by a moderator:
Kwangu Mimi si mkubwa kiasi cha kuzuia kumpa haki ya viboko ...huyu anatakiwa kupata bakora kama hasikii! Na kila mtu anajua umuhimu wa bakora..!

aaah watu8 bakora suna eti...biblia inasema usimnyime mtoto mapigo...hata wewe ukikosa nidhani father anakupa bakora eti

Sio katika umri huo tajwa, kama ni bakora basi ilipaswa iwe kwa umri mdogo...

Umri tajwa ni wakati wa kijana au binti kukuzwa kwa mausia, ni wakati wa kuwaandaa kujukumika na kufanya maamuzi sahihi...
 
Last edited by a moderator:
Weee imesaidia sana na inaendelea kusaidia.....lol

Fimbo zinasaidia sana ndio maana Leo hii ukifanya utafiti kwa watoto walio nyimwa viboko na walio pewa lazima uone ni jinsi gani wana tofautiana!

Kiboko ni dawa nzuri sana huyu mwenye miaka 16 hana ukubwa wowote kama hasikii apewe dawa!
 
Imani hizi,

Hivi mbinguni wanaenda kwa bodaboda?

Halafu unapoanzisha mada ni vyema kujibu maswali ya msingi ya wachangiaji tena kwa wakati ili upate ushauri ulio nzuri.

Nitarudi baadae.
 
Hivi unaona sifa kukaa kudhihaki watu ehhh...hongera zako bwana mkubwa!!!

usijali sana haya ni maisha yaliyotokea huwezi kuyabadili hii ni nature huwezi kupingana na nature
whatever comes first
adios....

nb mimi sio bwana mkubwa ndio kwanza nina miaka 12
 
Fimbo zinasaidia sana ndio maana Leo hii ukifanya utafiti kwa watoto walio nyimwa viboko na walio pewa lazima uone ni jinsi gani wana tofautiana!

Kiboko ni dawa nzuri sana huyu mwenye miaka 16 hana ukubwa wowote kama hasikii apewe dawa!

miaka 16 ni midogo sana kifua chake kisimdanganye mpaka miaka 19 nikifanya mambo ya kipuuzi nilikuwa namkwepa dingi
 
Karucee mi nafikiri kuwatenganisha vyumba watoto wa kiume na wakike ni utaratibu unao takiwa kufatwa na walezi wote hasa watoto wakifikia umri kama huo! Hii inasaidia sana kuepukana na haya yote!

Mimi nimemuuliza huyu mtoto ana lala na nani? maana nilitegemea kwa usalama wa huyo binti ni bora alale chumba kimoja na maid!

True. Kuna mkaka namfahamu kawapa mimba cousins wake wawili around same age ya 13-16.
 
Last edited by a moderator:
Hakika nakwambia, binti akishaonja bakora ya nyama, hata umkate kate na panga kuacha ni ngumu. Hebu fikiria unono wa ogazimu afu mtu akwambia uukose kisa fimbo ya siku ya siku moja? Hata wakate kiuno lazima arudie, bora kumwelekeza afnaye ngono kwa usahihi.

Kama kalelewa kwenye dini basi dini ihusishwe.

Kwangu Mimi si mkubwa kiasi cha kuzuia kumpa haki ya viboko ...huyu anatakiwa kupata bakora kama hasikii! Na kila mtu anajua umuhimu wa bakora..!
 
Sio katika umri huo tajwa, kama ni bakora basi ilipaswa iwe kwa umri mdogo...

Umri tajwa ni wakati wa kijana au binti kukuzwa kwa mausia, ni wakati wa kuwaandaa kujukumika na kufanya maamuzi sahihi...

Kwangu naona bado kuna nafasi ya kutumia njia mbili kwa huyo binti yaani mafunzo,mausia na viboko!

Kiboko kitakuja baada ya kuona hafati mausia aliyo ambiwa!
Na kwa mtoto wa umri huu kama hakuwai kupigwa atakapo shindwa kusikia ukamchapa basi lazima abadilike! Huyu bado mdogo sana!

Kiboko ni dawa!
 
Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, labda ufe. Tena kama keshazoea hata shule haipandi, ataanza kuleta miswaki tu, mwisho ataishia kubemenda watoto wa home.

Me binti akishaanza, badi bora afundishwe ngono salama, na awe na mtu mmoja tu for her sanity.

Back
Top Bottom