MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
wanasema tusijifunze kwa walioshindwa sasa mtu ameshindwa atatoaje ushauri
Last edited by a moderator:
Wewe my wii utafungasha uache dudu?......sidhani.......lol
Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, labda ufe. Tena kama keshazoea hata shule haipandi, ataanza kuleta miswaki tu, mwisho ataishia kubemenda watoto wa home.
Me binti akishaanza, badi bora afundishwe ngono salama, na awe na mtu mmoja tu for her sanity.
Nakuunga mkono katika hili, mtoto anaonywa kwa mdomo lakini pia kwa viboko. Hivyo ndivyo mafundisho ya Mungu yasemavyo. Tena kwa umri wa 12-17 mzazi unatakiwa kuongea na mtoto mara nyingi zaidi ili kumfahamu coz mabadiliko mengi ya binadamu hutokea katika umri huo, lakini pamoja na kuongea kama rafiki, lazima ajue kuwa akivuka mipaka atachapwa.Kwangu naona bado kuna nafasi ya kutumia njia mbili kwa huyo binti yaani mafunzo,mausia na viboko!
Kiboko kitakuja baada ya kuona hafati mausia aliyo ambiwa!
Na kwa mtoto wa umri huu kama hakuwai kupigwa atakapo shindwa kusikia ukamchapa basi lazima abadilike! Huyu bado mdogo sana!
Kiboko ni dawa!
Kutakuwa na raha ya dudu na viboko juu??
Mchana viboko usiku dudu shida iko wapi????
Aaah wapi kama dudu ntakutana nazo mbele kwa mbele viboko hapana
Niko juu juu barabarani.
binti analala na aunt yake mdogo chumba cha wadada, ndio maana kitendo cha kukaa sofa moja na kaka yake kilitustua
Kumbe haumpendi kaka yangu jamani
Wii kwa nini unasema hivyo jamani?? Kaka yako nampenda mpaka naumwa
wanasema tusijifunze kwa walioshindwa sasa mtu ameshindwa atatoaje ushauri
Kwangu naona bado kuna nafasi ya kutumia njia mbili kwa huyo binti yaani mafunzo,mausia na viboko!
Kiboko kitakuja baada ya kuona hafati mausia aliyo ambiwa!
Na kwa mtoto wa umri huu kama hakuwai kupigwa atakapo shindwa kusikia ukamchapa basi lazima abadilike! Huyu bado mdogo sana!
Kiboko ni dawa!
Duuu huyu kwangu Mimi naona ni mtoto bado! hata kama amesha anza lazima aambiwe na lazima apewe viboko! Huyu si wa kumwambia kwa maneno tuu hata kama amesha anza!
Yani huyu mtoto ambaye ana miaka 16 nimwambie afanye ngono salama? Hapa ni kuruhusu kabisa!
Huyu kwa umri huu anatakiwa kuonywa!
Niko juu juu barabarani.
binti analala na aunt yake mdogo chumba cha wadada, ndio maana kitendo cha kukaa sofa moja na kaka yake kilitustua