I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Chrispin,
Mimi Mfipa na bahati nzuri hicho kifipa sikijui.Lakini naishi na wachaga na watu wa makabila tofauti toka utoto wangu.Na kwa ajili hiyo nimeona kuwa tabia ni ya mtu mwenyewe hasa kizazi hiki cha sasa.Nasema hivo kwa sababu hata wazazi wengi ikiwa pamoja na wangu wana hisia mbaya kuhusu wachumba wa kichaga na hii imeleta kuumiza watu na kuingilia mapenzi ya watoto wao.Haifai katika jamii.
 
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni Mchaga, yeye alini caution kabisa kwamba dada zetu wa kichaga huwawezi wana matatizo. Hao tunawaweza sisi wachaga wenyewe! Akaongeza kuwa hata mimi ingawa ni Mchaga sifikirii kuoa Mchaga. Kweli Bwana at the end of the day hakuoa Mchaga. Alikuja kuoa binti wa Kisukuma.

These Chagga girls are dangerous to marry/commit.
 
Thanks ZD, labda kaswali ka mwisho; Have yo ever dated a chaggian boy?
 
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni Mchaga, yeye alini caution kabisa kwamba dada zetu wa kichaga huwawezi wana matatizo. Hao tunawaweza sisi wachaga wenyewe! Akaongeza kuwa hata mimi ingawa ni Mchaga sifikirii kuoa Mchaga. Kweli Bwana at the end of the day hakuoa Mchaga. Alikuja kuoa binti wa Kisukuma.

These Chagga girls are dangerous to marry/commit.
Haya bana..... why dont you guys leave them alone then?
Halafu wakioana wenyewe kwa wenyewe mnasema wana ukabila! Lipi jema? Kuna mada ilianzishwa hapahapa ikiwashutumu kwa ukabila au mmeshasahau kama ilivyo kawaida ya watz?
 
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni Mchaga, yeye alini caution kabisa kwamba dada zetu wa kichaga huwawezi wana matatizo. Hao tunawaweza sisi wachaga wenyewe! Akaongeza kuwa hata mimi ingawa ni Mchaga sifikirii kuoa Mchaga. Kweli Bwana at the end of the day hakuoa Mchaga. Alikuja kuoa binti wa Kisukuma.

These Chagga girls are dangerous to marry/commit.

Can you guys come with statistics kwenye hii ishu? Ni ndoa ngapi zimevunjika ambazo zimesababishwa na mke kuwa mchaga. To my understanding wanawake wa kichaga ni wavumilivu sana ktk ndoa zao na niwachapakazi hodari.
 
jamani nyie mna uhakika na haya mie sidhani kama ni wachagga wote..:)
 
kidume unazidiwa vipi ujanja na mtoto wa kike??..kumbukeni the issue hapa ni chagga girls wako smart sana!! na wanapenda mwanaume mchacharikaji, sasa kama wewe uanaume wako upo kwenye kumega tu basi huwezi kuwa na nafasi kwa demu wa kichaga. finito!!!
 
You have my 100% Support mkuu.
 
Can you guys come with statistics kwenye hii ishu? Ni ndoa ngapi zimevunjika ambazo zimesababishwa na mke kuwa mchaga. To my understanding wanawake wa kichaga ni wavumilivu sana ktk ndoa zao na niwachapakazi hodari.
Anecdote! anecdote! anecdotes!
Crispin..utawaambia wakuletee data...hawana bali ni majungu tu na failures zao kama individuals.
 
Yes nimewahi tena very serious relationship yenye heshima.Swali la mwisho unakoelekea siko kwenyewe,kama una swali la nyongeza ni-PM.

Subiri muda si mrefu itakuja thread kuhusu wanaume wa kichaga. Jiandae.
 
acheni kugeneralise mambo wadau those are only a few uliokutana nao ambao wako hivyo but doesnt mean kwamba wadada wa kichagga wako wote hivyo. halafu mtu si kabila ni yeye mwenyewe alivyo ndani ya moyo wake na tabia zake kama ni selfish ndo hivyo alivyo ni tabia yake kama anendekeza pesa ni tabia yake.
 
Hizo ni tabia za hao unaowajua wewe tuu,lakini wapo wachaga wengi poa,mbona kila kabila wapo watu wenye mbwembwe hizo?unajua nin kama mtu hakutaki anaweza onyesha tabia hata kama sio zake!!
 
Ruwa oko mangi....kiruuu! Kibo! Kyachakiche where are you?
..Nguli napenda huyo dogo anavyojifua hapo kwenye avatar yako!!! We shemeji yangu nakuheshimu nina dada yako wa kichaga ananipa raha siwezi kusimulia!!! acha kabisa eeh!
 
No research no right to speak! Kwanza huna uhakika na unayozungumza- umeambiwa na rafiki yako ambaye ana mchumba mchaga, siyo wewe sasa kinachokufanya uamini wana sifa hizo ni kitu gani? Kwanza enzi hizi kuanza kujadili ukabila na tabia hatutafika mbali, kama watu wawili au 3 walikuwa na tabia hizo that could happen by chance! Tukianza kujadili ukabila hapa tutaelekea kwingineko kabisa........
 
mpaka kufikia mwaka 2000 wanawake wa kichaga walikuwa
wameweka rekodi ya aina yake tanzania ambayo inaweza
isivunjwe milele......

Mke wa rais.......mchaga.....anna mkapa
mke wa waziri mkuu...mchaga...ester sumaye
mke wa rais wa zanzibar mchaga...salma salmin
mke wa waziri wa viwanda ....mchaga ..mrs iddi simba
na kadhalika kadhalika....
Kumbuka watu wote hao niliowataja sio wachaga.....

I did admire this post.

Inawezekana hii list ni ndefu na kuna faida zake za kuoa huko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom