Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
Please pray for me dears!
pole sana
nakuombea
Khaaaaaaaaaaa!!!!!!Chagua Shansarie kuwa miss chit chat 2013.
Asante kwa ushirikiano wako!!
Ahsante sana kwa kuniombea mkuu... najiona sawa sasa,sijapigwa kibuti,ila kuna ugumu nilikuwa nikiupitia nikahisi kama dunia inanimeza!!!!!Wats rong?? Umepigwa kibuti au..!?wafikirie na wale ambao hawana pa kulala au kula na wale walioko mahabusu na magerezani, walioko hospital wako hawajui hatima zao halafu angalia na hizo stress zako
Mshukuru Mungu una hata huu muda wa kupost hii thread, na pesa ya bundle hata kama ni Jero, kuna mwingine hiyo jero ina hesabu kibao na kila akipigia hesabu moja haisomi mbili haikai, Mshukuru Mungu
Napiga goti kukuombea
I can't expose it here... thank you for your concernThe reason behind..!?
Asante mwallu... Mungu ni mwema nipo sawa sasapole sana
nakuombea
Asante luv... luv u mingi!!!!pole sana, nakuombea, utakuwa sawa
Wewe nawe mwingiiiiii.....kuna mtu anahitaji maombi yako kule mtaa wa pili
nitaku Baba V!!!!!Chagua Shansarie kuwa miss chit chat 2013.
Asante kwa ushirikiano wako!!
You are always good at advising dada... keep it up!!!!!Ukianza kuishi kama free thinker u shld be fine. Kama kuna jambo ambalo huwezi kulibadili, likubali. Unaloweza libadilishe
NOTED!!!!Pole sana, but look whom to tell your problems,because some have more problem than yours,some will laugh at you and only few people will be concerned with your problem
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
niombee na mimi mtaniPole mwaya yaani hapa ninaomba kwaajili yako, utapokea miujiza baada ya muda, usisahau kutoa ushuhuda na fungu la kumi.. Sawa mpendwa?
Pole mwaya yaani hapa ninaomba kwaajili yako, utapokea miujiza baada ya muda, usisahau kutoa ushuhuda na fungu la kumi.. Sawa mpendwa?
niombee na mimi mtani
Amen dada mdogo!
niombee nioe mwaka huu mtani,ila usisali ukiwa na wivunikuombee una shida gani mtani? Hebu nijulishe fasta ili nipeleke hitaji lako mbele za bwana