I am so Low emotionally

I am so Low emotionally

niombee nioe mwaka huu mtani,ila usisali ukiwa na wivu

hahahaaa, mtani wivu wa nini tena mie? Leo usiku nitasali kwa ajili yako na kuanzia kesho utaona miujiza jinsi itakavyoanza kutendeka, ila kumbuka kumtolea bwana ili ujiongezee baraka
 
kumtolea bwana usijali maana mi ndo pastor nafahamu kila process za upako
 
hahahaaa, mtani wivu wa nini tena mie? Leo usiku nitasali kwa ajili yako na kuanzia kesho utaona miujiza jinsi itakavyoanza kutendeka, ila kumbuka kumtolea bwana ili ujiongezee baraka

Hahaha... Excellent hachelewi kung'ang'ania Lady doctor ndo uwe muujiza wenyewe,lol!
 
Last edited by a moderator:

Weye weye wataka kumuua mwenzio..

Hahaha hawezi kufa banaaa...marijuana ni stimulant hivyo itashtua kidogo emotions zake...from there atakuwa poa tu...

Kuna nchi watu huwa wanaandikiwa dozi kidogo ya hii mambo ili kuweka ubongo sawa...
 
Pole mi pia siko sawa, i just need someone to comfort me!!!!
 
Back
Top Bottom