"I am just a small boy"

nimekusoma over!
lete kiti lete popcorn !
usisahahu tape recorder
ahahahhaha nimefurahi sana ulivonitafuta wakati na mi nakutafuta

Ndo maana nakuelewaga mapema kabisa mwalimu wangu.....lol....tuna hisia zinafanana
 
Ndo unajaribu kutunga mtihani wa form 4 2013 ili tushushe kiwango hadi 21%???

halafu ungejua unavyomkosea adabu dada yako, ungeshaenda kuandaa somo la kesho...lol!!

Babu DC!!
ah mi na dada mkubwa tutamalizana tuuu!
ishu ni hivi kwani imekuwaje
babu aseme walimu sijui ni nini
na dada mkubwa nae oh nataka kubadili profesheni
NAULIZA TUU!sio keeeesi!
 
akadhani hata mimi nitaingia kwa huo mkumbo? ashindwe na alegee


Hapana mkubwa mwenzangu...alishahau tu kwamba na wewe ulikuwa pale....

Au alikufananisha na mdogo wako mmoja mwenye fujo..lol!!

Babu DC!!
 
Mbona nilikwambia toka mwanzao kwamba huyu mdogo wako huyu.......ngumu sana kumwelewa....

Naamini hata yule mtuhumiwa bado yuko class anamsoma....

Kazi kweli kweli...

Babu DC!!
namwnea huruma mtuhumiwa maana hajui atagraduate lini, lol!
 
Hapana mkubwa mwenzangu...alishahau tu kwamba na wewe ulikuwa pale....

Au alikufananisha na mdogo wako mmoja mwenye fujo..lol!!

Babu DC!!
ahahahahhahahha baaabuuuuu!
ukifikaga hapa unaongeaga kwa sauti ya upoooole!
 
ah mi na dada mkubwa tutamalizana tuuu!
ishu ni hivi kwani imekuwaje
babu aseme walimu sijui ni nini
na dada mkubwa nae oh nataka kubadili profesheni
NAULIZA TUU!sio keeeesi!
wewe kweli sasa nimeamini ni mchokozi, lol!
haya na mimi najua nitakubana wapi
 
Kaizer kwenye nondo za NECTA kama hvi sijui unakuwaga wapi!
af matokeo yakitoka mi naanza kubishana na joyce ndalichako
ah!
umeona eeh...nivushemo darasa basi mwalimu snowhite

na siku mpya ikaanza na ikawa kitu chema!
NA SASA LIFTI INASOGEA PAREEEE!kituo getini mind yu!

bara-bara.... FP upo pande gani maana DC anakusubiri sasa.....wawaache mpumuwe.....

cc: cacico
 
Last edited by a moderator:
Huu sasa ndiyo uchokozi tunaousema...

Haya bwana...

kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeki!
babu ukifika mahali pa kusahau kuweka signature ya
Babu DC
mimi mjukuu wako kipenzi huwa najua umefika wapi!mimi tuuu!wengine hawaelewei babu!sana sana nitammwambia Kaizer ,TU!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…