Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #141
mtu na mwanafunzi wake....nimekusoma over!
lete kiti lete popcorn !
usisahahu tape recorder
ahahahhaha nimefurahi sana ulivonitafuta wakati na mi nakutafuta
kila la heriahahahahhahaha kimkolono cha Berlin hicho dada mkubbwa huwa tunakitumia kwenye mazingira kama haya ya sasa hiv yanayoendelea hapa!
afadhali umenitetea, maana ilibidi nirudie mara kumi kumi kusoama kama nimeandika cha ajabu....Mbona kaongea kiswahili hiki hiki tu kaka??
Kwani kaongea hicho kizungu cha watoto wa Makel kama wewe na huyo mdodo wangu mwingine??
Ila siyo fair kuongea kilugha chenu mbele ya public wakuu..lol!!
Babu DC!!
ah babu bana !
mi hata simwelewi!
af mkiondokaga hapa anaaanza oh mi sijui mstaafu kwahiyo sijui per diems zinajazwaje or sijui imprest forms na invoice zinaandikwaje
kwani enzi zako zilikuwa hamnaaa babu!ah!
su uaplay ujuzi banaaa
afadhali umenitetea, maana ilibidi nirudie mara kumi kumi kusoama kama nimeandika cha ajabu....
nilitaka kuomba tufute post, lol!
hii inaweza kuwa sababu...labda mkewe anamuitaga bebi akajua yeye ni bebi kweli
ebana BT bora umecome i seelabda mkewe anamuitaga bebi akajua yeye ni bebi kweli
labda mkewe anamuitaga bebi akajua yeye ni bebi kweli
ha haaaa, umekumbuka eeeh!Umenichekesha sana na hadithi ya kufuta post ili kukimbia utatu mtakatifu...lol!!!
Haya bwana...ngoja sasa nikamalizane na mzee mwenzangu...
Babu DC!!
BABU LEO HATA UAGE MARA NGAPI!Umenichekesha sana na hadithi ya kufuta post ili kukimbia utatu mtakatifu...lol!!!
Haya bwana...ngoja sasa nikamalizane na mzee mwenzangu...
Babu DC!!
ha haaaa, umekumbuka eeeh!
haya babu kamalizane naye salama
wewe acha uchokozi..... ntakuwa sikutetei ukipigwa....
sasa kwani mimi binti? hiyo ilikuwa general....
babu Dark City njoo unitetee huku
akadhani hata mimi nitaingia kwa huo mkumbo? ashindwe na alegeeInawezekana ila alichukulia kuwa kila mwanamke atakuwa anamita baby, sijue babe.....lol!!
Hiki kizazi kazi kinayo kwe kwel...
Babu DC!!
babu kwani wewe bidada mkubwa unamuitaje?Inawezekana ila alichukulia kuwa kila mwanamke atakuwa anamita baby, sijue babe.....lol!!
Hiki kizazi kazi kinayo kwe kwel...
Babu DC!!
he heeee, lugha zetu tunazijua wenyewe....BABU LEO HATA UAGE MARA NGAPI!
haya maswali humu utayakuta tu kesho!
kisa cha kutaka kufuta post we na dada mkubwa nini!
ARE WE MISSING SOMESING ZERE!
BABU LEO HATA UAGE MARA NGAPI!
haya maswali humu utayakuta tu kesho!
kisa cha kutaka kufuta post we na dada mkubwa nini!
ARE WE MISSING SOMESING ZERE!
ahahahhahahahhahhahaMbona nilikwambia toka mwanzao kwamba huyu mdogo wako huyu.......ngumu sana kumwelewa....
Naamini hata yule mtuhumiwa bado yuko class anamsoma....
Kazi kweli kweli...
Babu DC!!