"I am just a small boy"

mtu na babu yake mi nawaangalia tu na story zenu, lol!

ah babu bana !
mi hata simwelewi!
af mkiondokaga hapa anaaanza oh mi sijui mstaafu kwahiyo sijui per diems zinajazwaje or sijui imprest forms na invoice zinaandikwaje
kwani enzi zako zilikuwa hamnaaa babu!ah!
su uaplay ujuzi banaaa
 
ha haaaa, babu kuna mambo mawili
1) aibu
2) dharau


Hahahahahahaha,

Pole sana mkubwa mwenzangu...enzi zile kule Geshini...tulikuwa tunasema kuwa mtu mwenye mshipa wa noma lazima afe njaa....

Nakuonea huruma ila ndo hivyo tena... Lol!!!

Babu DC!!
 
HAIWEZKAN!
babu tupe mkanda !uliona raha sisi tulivokuwa tunauza ramani za vita jinsi dada mkubwa alivokuwa anamsogezea mzee k miwani na gazeti enh!
umeona eeeh! hii haikubaliki kabisaaaaa, na yeye lazima atuambie
 
ah babu bana !
mi hata simwelewi!
af mkiondokaga hapa anaaanza oh mi sijui mstaafu kwahiyo sijui per diems zinajazwaje or sijui imprest forms na invoice zinaandikwaje
kwani enzi zako zilikuwa hamnaaa babu!ah!
su uaplay ujuzi banaaa
ha haaa, niliona lile dongo lanko la babu kujutia ustaafu, lol!
 
Hahahahahahaha,

Pole sana mkubwa mwenzangu...enzi zile kule Geshini...tulikuwa tunasema kuwa mtu mwenye mshipa wa noma lazima afe njaa....

Nakuonea huruma ila ndo hivyo tena... Lol!!!

Babu DC!!
ha haaa, kuna mambo ni kuyapita tu..... unaweza uka-reveal vitu vingine...
noted babu
 
ha haaaa, nimekupata mkubwa mwenzangu, lol!
no uchokozi tena, ila na wewe usiwe unaniweka kwenye kona mwenzio.....
sisi tunajuana kwa hiyo rahisi sana kumbana mwenzio, sawa?

ahaaaa.. Dark City please take note sir......
snowhite uko ofisi gani mwalimu? Nakutafuta general staff room sikuoni...
 
Last edited by a moderator:

Kwani na wewe mzee mwenzangu una mashaka na Babu kama snowhite??

Babu ni toothless bwana...labda hawa wadada kama wanataka kusindikizwa hadi huko waendako..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha,

Pole sana mkubwa mwenzangu...enzi zile kule Geshini...tulikuwa tunasema kuwa mtu mwenye mshipa wa noma lazima afe njaa....

Nakuonea huruma ila ndo hivyo tena... Lol!!!

Babu DC!!


Leo hapa kazi rahisi tu.......
 
Kwani na wewe mzee mwenzangu una mashaka na Babu kama snowhite??

Babu ni toothless bwana...labda hawa wadada kama wanataka kusindikizwa hadi huko waendako..lol!!

Babu DC!!
ha haaaa, kwetu marufuku mkaka kukabidhiwa binti amsindikize.....
pesa utapewa
 
ahaaaa.. Dark City please take note sir......
snowhite uko ofisi gani mwalimu? Nakutafuta general staff room sikuoni...


Mbona kaongea kiswahili hiki hiki tu kaka??

Kwani kaongea hicho kizungu cha watoto wa Makel kama wewe na huyo mdodo wangu mwingine??

Ila siyo fair kuongea kilugha chenu mbele ya public wakuu..lol!!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…