"I am just a small boy"

ndo mtoooooe mfano saaaasa!
yani kimfano,ukitaka kumwita dada mkubwa unamwitaje .
KIMFANO TU BABU!
wewe nakuuliza tena una nini nami na babu?
mimi nikitaka kumwita babu naita Selestini...... lol!
sijui limetokea wapi hilo jina!
babu Dark City kama lako kweli imekula kwako, lol!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe small boy alikosa mistari ya kushuka nayo ndio akaamua kuwa creative na kuamua kushuka na mstari mmoja tu, "I am just a small boy" lol!...110%
jamani mnamsingizia kaka wa watu....
hakuwa kwenye kushusha mistari, basi tu nadhani anapenda kuwa small boy, lol!
 
jamani mnamsingizia kaka wa watu....
hakuwa kwenye kushusha mistari, basi tu nadhani anapenda kuwa small boy, lol!
dada mkubwa sa hz nimeshakunywa chai ujue!
ngoja nikapige kazi tuonenane jioni nikianza hapa na chai hii!hatuli tena leo!
 
ha haaaa..... zamani nilikuwa namwamkia, lol!
siku hizi najidai mkubwa simwamkii basi ananikumbushiaga "siku hizi huniheshimu tena wewe, mbona huamkii!" lol!
 
ha haaa, hao watoto wangejuuuta mimi kuwa mwalimu wao.......
wangeambizana generations zote hakuna kumtokea huyu mwalimu, lol!
 
ndio wazuri kuwaibia hao ili akome tena nawewe ulitakiwa ujifanye mtoto kuliko yeye, dizain watu kama huyo ukichelewa kidogo anawahi kukuingiza mjini ilibidi umuibie ili akome kujitotosha. ungelitia hasara usingeondoka
ha haaaa, nimeipenda hiyo strategy ya kujifanya mdogo kuliko yeye, lol!
watu wana mbinu!
snowhite uje uione hii, lol!
 
Last edited by a moderator:

Maskini ndio basi tena huyo hawezi kukua tena labda mke wake (kama analitambua hilo) amuombe sana Mungu otherwise he will always be mama's boy!
Si lakumlaumu huenda amelelewa katika mazingira ya yeye kua mtoto siku zote....itakua ngumu sana kujitambua duh! sorry for the wife
 
ndo maana mimi nikahisi labda ni mtoto wa mwisho......lol!
 
Morning @FP... Please convey BAK's special greetings to small boy lol!
Wish you a lovely, enjoyable and very productive day 🙂 🙂

jamani mnamsingizia kaka wa watu....
hakuwa kwenye kushusha mistari, basi tu nadhani anapenda kuwa small boy, lol!
 
Morning @FP... Please convey BAK's special greetings to small boy lol!
Wish you a lovely, enjoyable and very productive day 🙂 🙂
rafiki sitaki uchokozi asubuhi hii.......
mchokozi mwenzio snowhite katimka naomba na wewe utimke......
Asante kwa salamu na good wishes.... hizo nazipokea kwa mikono yooote......
Uwe na siku njema pia
 
Last edited by a moderator:
yaani babu huyu snowhite na mwenzie Kaizer jana wametufanyia sana majungu hapa........
mimi sikuamini kama kweli huyu ni yule yule mdogo wangu, lol!
 
Last edited by a moderator:
snowhite huyuhuyu Mtambuzi alisema pochi zetu tunafugia mende alinuiudhi sana sana that day
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, hao watoto wangejuuuta mimi kuwa mwalimu wao.......
wangeambizana generations zote hakuna kumtokea huyu mwalimu, lol!

naelewa usemacho FP lakini naomba nikwambie kitu kimoja, unapokuwa mwl huwa tunafundishwa kabisaa namna ya kudeal na wanafunzi wa aina zote na unatakiwa ujitahidi sana kumfanya mwanafunzi mtukutu kabisa awe bora sana.

mara nyingi ingekuwa waalimu wa kike hawajiweki nafasi ya mama kwa watoto wanaowafundisha ni wazi kwamba tungewafukuzisha shule wengi sna. huwa makosa mengine tunajua yamevuka mipaka lkn unawaza mzazi kamgharamia kiasi gani hadi hapa alipofika?? na je akifukuzwa shule maisha yake yaliyobaki inakuwaje?? kwann nikamharibie maisha kwa ujinga wake mwenyewe??Kumbuka mara nyingine mwanafunzi anaweza akawa source of fire but the ignition comes from his teacher.

so unapopima ukaona kabisa kosa hili kalitenda mwanafunzi lkn atakapojeruhiwa na matokeo ya adhabu basi mimi nitakuwa ignition unaamua kuacha na kuonya kwa ukali, na hata kumkanseli. mara nyingine unaona kabisa mm kama mama ningependa mwanamke mwenzangu aniatendee nini kwa mwanangu, kisha unawaza kwann mimi nimtendee kile ambacho sipendi nitendewe??

chunguza ukiona hadi mwanafunzi kafukuzwa shule jua huyu kavuka mipaka kwa kosa alilotenda. mara nyingi sana hata wale wanaopata ujauzito huwa tuna take risk kama yuko form 4 kwamba afanye mtihani ili kama akifaulu basi iwe ni bahati yake. huwa tunaweka umama na ubaba mbele zaid kwenye makosa ya wanafunzi kuliko kuweka ualimu na sheria za shule.
 
Last edited by a moderator:
sasa wale voda faster wanafundishwa haya yote mwalimu? au ndo yaliishia enzi zenu tu?
mdogo wangu anakomaje sasa na kukusanyiwa watoto wa majirani na ndugu watukutu wote ili aongee nao, lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…