"I am just a small boy"

Mtambuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii leo hakuliki huku!
na hatunyamazi mpka utuletee contessa
uuwih nikiletewa nitakimbiajeee!
ila atakunywa Paloma share yangu!

kwaresima hii..............majaribu haya.............shetani kanipitia dadangu....nimeinywa share yako....sambi sako mwenyewe kwa kunipa share yako...........
 
FP lazima uelewe banaaa.....sisi wenyewe tunawaita "bebi", bebi i lav yu, bebi hiki bebi kile,,, ukute mkewe naye dozi ni ya bebi this bebi that. so na mwenyewe anajichukulia kama bado mbebi vilee....small boy!
(justthinking)

think again Paloma, think! #justthinking
 
Last edited by a moderator:
Huyo anatafuta mbinu ya kutafuna dogodogo
 
Kumbe hawa small boys ni hatari sana etieeeeeeeeeeee!!

Nimecheka sana jinsi maticha walivyokuwa wanawakimbia madenti wao..lol!!

Ningekuwa mie hapa naenda kwa headmaster kuomba kukariri darasa ili nikamatane na ticha..

CC: gfsonwin, snowhite, Kaizer, @FP...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
[

Hizi shikamoo zako za uchokozi...

Haya bwana, nimekubali...

Naona mmekesha mnahashuana na wa wanafunzi...lol!!

Babu DC!!
ahahahhahahhahah we unafanya masikhara babu kusahau signature yake!?
ilikuwa hamna jinsi wanafunzi na walimu wafanye remedial classes
eti Kaizer?
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahahha mi nmejionea bora nijifundishie zangu darasa la II B
 
FP lazima uelewe banaaa.....sisi wenyewe tunawaita "bebi", bebi i lav yu, bebi hiki bebi kile,,, ukute mkewe naye dozi ni ya bebi this bebi that. so na mwenyewe anajichukulia kama bado mbebi vilee....small boy!
(justthinking)
ha haaa, labda....
sasa mbona wengi wanaitwa bebi lakini hawajitangazi ni masmall boy?
 
Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....

Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....

mkuu we kubali matokeo tu baada ya kubanwa ndio unasema mambo ya mila tena lol
 
ahahahhahahhahah we unafanya masikhara babu kusahau signature yake!?
ilikuwa hamna jinsi wanafunzi na walimu wafanye remedial classes
eti Kaizer?

Ndo maana nakwambiaga kuwa bado ile prematurity inakuandama.....

Si nimesema huko nyumba kwamba mwenye mali alishaanza kuchimba mkwara??

Au ulitaka nipigwe ban na Bibi....halafu ningekimbilia wapi??

Babu DC!!
 
ha haaa, labda....
sasa mbona wengi wanaitwa bebi lakini hawajitangazi ni masmall boy?

Hivi na wewe huwa unatumia hayo maneno??

Sie tulishayafuta kabisa.....

Yaani ustaafu wote huu mjione kuwa ni ma-toddler??

Hapana bwana.......tunaitana majina ya ujana wetu and it's sweeter that huo udhungu koko!!

ndo mtoooooe mfano saaaasa!
yani kimfano,ukitaka kumwita dada mkubwa unamwitaje .
KIMFANO TU BABU!
 
Ndo maana nakwambiaga kuwa bado ile prematurity inakuandama.....

Si nimesema huko nyumba kwamba mwenye mali alishaanza kuchimba mkwara??

Au ulitaka nipigwe ban na Bibi....halafu ningekimbilia wapi??

Babu DC!!
Babu hapa ulitaka kuseeema? Kaizer kwani ile thumu iliyokufanya jana usiku usamehe boli moja ya madhara yake ilikuwa ni kukosea tahajia au?
 
Last edited by a moderator:
alisema kama nilivyoandika hapo, kwa lugha hiyo hiyo....
sijataka kabisa ku-translate maana ningeweza kupoteza maana, lol!
 
ahahahahhahahha mi nmejionea bora nijifundishie zangu darasa la II B
ha haaa, umenikumbusha mdogo wangu alipograduate wakamwomba akafundishe sekondari akakataa, sasa nikamwuliza kwa nini? akaniambia napenda sana kazi yangu..... kule sekondari nitaua watoto wa watu, wanatongoza hao balaa, lol!
anasema alipokuwa anawafundisha sijui ndo field, alikuwa anatongozwa mpaka hatamani kuingia darasa
 
Hivi na wewe huwa unatumia hayo maneno??

Sie tulishayafuta kabisa.....

Yaani ustaafu wote huu mjione kuwa ni ma-toddler??

Hapana bwana.......tunaitana majina ya ujana wetu and it's sweeter that huo udhungu koko!!

Babu DC!!
mi sijasema kama nayatumia babu.....
tangu nikiwa toddler nilikuwa nakandamiza jina lake mpaka leo, lol!
huo uzungu hata mimi siuwezi kabisa..... kwanza mdomo unakuwa mzito kutamka hayo majina, lol!
 
mbaya zaidi ni kwamba unajikuta huna namna manake ualimu uliusoma mwenyewe.
halafu shule za waschana watupu ndo kama hivyo ni chache.

babu mwanafunzi wa form six unamfundisha ukichora FBD yeye nachora ya makalio yako.
mbaya zaid ukiwa makali sna unajikuta umewafukuzisha shule so unawaharibia maisha yake mazima.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…