I am 42 yeas old and finished

I am 42 yeas old and finished

.....never give up as long as you still alive...life is always full of suprise.....you never know and no body know....so hold on....
 
I know I can..be what I want to be....if I work hard at it..I will be where I wanna be......
 
You are a professional? as the term states being a professional means you have capacity to contribute to work, as a consultant or employee.
a) Try building a network of consultation through volunteering and learning a lot how to make your knowledge useful.
b) Go to house of worship and sit down and let God show you the wonders of life and the beauty of it...Let Him show you the reason why you were born and how you can contribute to life( Truth is, you still have not experienced life man)
c) Your missions failed yes, but at 42 you are now old enought to know in life failure is what makes success and life meaningful, you don't run or fear it! Have heart and pick yourself again.

d) Take a break, usiogope maisha ama chochote watu watakachosema....Get yourself off the life rat race for a while and meditate on everything that people think wrong about life. Love your children and listen to them as life becomes more and more revealed to them (Trust me you'll learn thing u didn't know).

e) As you think of life and try to relax. You may see the woman you want to spend your life with, who by the way you may not be seeing because you are so busy getting frustrated with life.

Well said mkuu!
 
This is a lesson to younger one. Tafadhali nashindwa kujieleza kwa kiswahili, this is real.

Iam a proffesional male who left work when i was 40, in order to pursue something kama watanzania wengi tunavyofanya. But now i just realize it is beyond my capacity.

I now think I made a mistake and have made things worse, I am not married but i have children with two different women who are married with other guys. I dont have house but i have a car, in general i feel like I am finished.

I feel like I am on an empty journey... I feel miserable and frightened.

THIS WORLD IS NOT FAIR!

My friend you are not finished, the devil is a liar always! 42Yrs is not too old to start over, wake up man you have long way to go!! As long as you are still alive you worth millions dollars!!! Make a fresh start ! don't you have faith? HAVE FAITH MAN AND MAKE A FRESH START.
 
Oooh very sorry mdau. Nimejihisi kama ndio mimi vile imenitokea hivyo though im early 30's
Unajua hii life style tunayoenda nayo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote yule. Tunapenda ishi maisha ambayo kihalisia siyo level yetu.
Mimi mwenyewe mmojawapo ndugu. Nimejikuta otomatikali ninakabiliwa na kodi kubwa ya nyumba inayonikabili kila baada ya miezi sita. Mkopo wa kijigari haujaishia na ndio naona mtego kabisaa hali kama hii itanifikia na mimi. bajeti ya mafuta inanifanya nishindwe kusave hata kiasi kidogo kwa kile ninachokipata. Miaka inayoyoma lakini nashindwa kujinasua kwenye hali hii.Ni ngumu mno ukaacha usafiri wako na ukakimbizana na daladala kisa bajeti ya mafuta(wenye nayo wanajua hali hii)
Siku nyingine nawaza. mfano nikisimamishwa kazi ghafla nitakua mgeni wa nani?
Mbaya zaidi nimemtia mdada mimba amaye sijapanga kabisaa kumuoa.
Mawazo tele asee!
 
Bado usikate tamaa, omba Mungu tu upate muda zaidi wa kuishi, umri ulio nao bado unaweza kupata mafanikio zaidi.

Here is the reason why: we each have a grand plan for our life based on age. It goes something like this:
• In my teens, I’ll get into a good college or get a good job.
• In my early twenties, my career will start to take off.
• By my mid-twenties, I will meet the person of my dreams.
• In my thirties, I will be married and have 2.2 beautiful children.
• In my forties, I’ll be running the company for which I’ve been working.
• In my fifties, I’ll reflect back on my life and my grown children and smile.
• In my sixties, I’ll retire and travel the world.

Kwa hiyo katika umri wa 40 hadi 49, unaweza kuwa na mafanikio. Usikate tamaa.
 
I know I can..be what I want to be....if I work hard at it..I will be where I wanna be......

mistari mifupi imeenda shule!
Tunaitaji vitu kama hivi kutoka bongofleva kutufariji na kutupa moyo tunapokuwa kwenye hali kama ya mkuu, tunapoandaa plan B.
 
Tatizo nini ati? Kutokuwa na nyumba? Kutokuwa umeoa? Kuwa na watoto wawili mama tofauti? Huna kazi? Au all of the above?

Halafu utakuwa mbeba box wewe.Anyways,life is simple my friend so don't complicate things caz age is just a number
If you are single,get married

If you don't have a job,get a job,u had it once u can have it again

Watoto wana kushinda,peleka kwa mama zao kwa muda au kwa bibi,kuanza upya sio ujinga.Rudisha mpira kwa kipa anza moja

If you don't have a house,get a plan and stay focused

We are our own worst enemy.

unadhani kwa jinsi alivyochanganyikiwa atakuwa analea watoto yeye mwenyewe? Wapo kwa mama zao wanakula bata yeye yupo yupo tu mbele hakuoni numa hapakumbuki
 
eti this world is not fair....ulijisahau na kamaisha flani kalikokupitia...wewe ndo hukuwa fair na dunia...

Lipa ulichokipanda duniani mkuu.. mbinguni kuhesabiwa tu sikuhizi.


Mkuu nina swali juu ya hii comment yako, unawafahamu wahanga walozalishwa na kuachwa na huyu jamaa?

Au wewe ni mmoja wao ila sasa jeraha limepona? Whatever the case, the guy is regretting of all what happened, lets give him moral support ili angalau ayaone maisha katika nuru mpya, asiwe kama Yuda aliyeishia kujitia kitanzi.
 
Mkuu nina swali juu ya hii comment yako, unawafahamu wahanga walozalishwa na kuachwa na huyu jamaa?

Au wewe ni mmoja wao ila sasa jeraha limepona? Whatever the case, the guy is regretting of all what happened, lets give him moral support ili angalau ayaone maisha katika nuru mpya, asiwe kama Yuda aliyeishia kujitia kitanzi.

Wewe binadamu una busara sana.
 
Jamani huku ni jamii forum,soma na angalia wenzio wanavyoandika, mnakosa kazi kwa upuuzi kama huu ..

si lazima nifanane na wengine,na kwa taarifa yako ninajua kipi niandike wapi & am nt a job seeker,kuna mwenye akili zake timamu atatumia kifupisho kwenye offical letter
 
Fear not when, fear not why fear not once you're alive.
Because life is for living....
Mkuu piga moyo konde you still can make it
 
NI USHAURI TU BESTITO WAWEZA KUUCHUKUA NA KUTENDEA KAZI KAMA UTAPENDA

Bestito yawezekana unapita katika magumu na unaona hakuna njia tena na unakata tamaa.
Umefika mahali na unasema siwezi kupata kazi tena, hii kazi siwezi tena, hawa watoto wamenishinda, siwezi kujenga, hii biashara imekufa, siwezi kuwa na biashara tena, n.k.


Ninataka nikuambie ya kwamba IPO NJIA. Inaweza isiwe rahisi na inaweza iwe ndefu. Hata kama panaonekanika kama hakuna njia, kwa Mungu kuna njia wakati wote. Na kama Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako, Utakuwa na ubunifu wote ulimwenguni upo ndani yake, na kwa kuwa yupo ndani yako, ubunifu utaupata. Mungu ana uwezo wa kukupa fikra ambazo hujawahi kuwa nazo na kukuonyesha njia ya kufanya vitu ulivyofikiri hutakaa uweze kufanya.


Badala ya kukumbatia magumu, inatubidi kuelekeza mawazo yetu kwa Mungu na tujue ya kwamba yeye yupo kwa ajili yetu na nguvu yake ipo kazini kwa ajili yetu. Tufike mahali tuone ya kwamba iwepo njia au isiwepo Yesu ndiye njia yangu na nitaipata njia ya kutokea tuu.


Mungu ametuahidi katika Isaya 43:19 akisema tazama, nitatenda tendo jipya; sasa litachipuka, je! Hamtalijua sasa? NITAFANYA NJIA HATA JANGWANI, na MITO YA MAJI NYIKANI. Katika injili ya yohana 14:16 Bwana Yesu alisema Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima. Yeye ndiye njia, atakusaidia kuiona njia pale inapoonekana kama hakuna njia. Pia katika Wakorinto wa kwanza 10:13 tunafundishwa ya kwamba Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya mwanadamu; ila Mungu ni mwaaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. Hivyo rafiki usikate tamaa wala kuvunjika moyo kuona miaka imesonga sana wala huoni ulichofanya Mwamini Mungu kuwa anaweza naye atafanya njia na vilevile jipe tumaini kuwa ipo siku utatoka hapo ulipo na vilevile fanya juhudi na bidii katika kila jambo ufanyalo MSHIRIKISHE MUNGU usipende kufanya pekee na kumuweka Mungu mbali fanya kila kitu kwa uwezo wa Mungu na USIWE MVIVU AU MLEGEVU au mwenye KUCHAGUA AINA YA KAZI au MWENYE KUCHAGUA kitu BALI fanya lolote la halali mbele yako kwa utukufu wa MUNGU.

CC: muuza ubuyu , Ntuzu
Passion Lady

Ahsante ....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom