I am 42 yeas old and finished

I am 42 yeas old and finished

aliyekwambia sijui nani?mtoa mada aliweka wazi kuwa kiswahili kinamsumbua.
NB: JUST STAY AWAY FROM THIS 4 UR OWN GUD

come dowm lin si lazima uwajibu just enjoy and mind your time goodluck
 
Last edited by a moderator:
Hauko mwenyewe. At 40s kuna majaribu mengi na frustration kibao. Do meditation , concentarte on what you started, once the fear is gone you will see a new light.
 
Oooh very sorry mdau. Nimejihisi kama ndio mimi vile imenitokea hivyo though im early 30's
Unajua hii life style tunayoenda nayo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote yule. Tunapenda ishi maisha ambayo kihalisia siyo level yetu.
Mimi mwenyewe mmojawapo ndugu. Nimejikuta otomatikali ninakabiliwa na kodi kubwa ya nyumba inayonikabili kila baada ya miezi sita. Mkopo wa kijigari haujaishia na ndio naona mtego kabisaa hali kama hii itanifikia na mimi. bajeti ya mafuta inanifanya nishindwe kusave hata kiasi kidogo kwa kile ninachokipata. Miaka inayoyoma lakini nashindwa kujinasua kwenye hali hii.Ni ngumu mno ukaacha usafiri wako na ukakimbizana na daladala kisa bajeti ya mafuta(wenye nayo wanajua hali hii)
Siku nyingine nawaza. mfano nikisimamishwa kazi ghafla nitakua mgeni wa nani?
Mbaya zaidi nimemtia mdada mimba amaye sijapanga kabisaa kumuoa.
Mawazo tele asee!

pole badili aina ya gari kama unatumia zinazokula mafuta sana
pia waweza kubadili eneo unaloishi au aina ya nyumba uliyopanga kama unaishi maeneo ambayo nyumba za kupanga ni bei kubwa jaribu maeneo ya pembezoni mwa mji ambako ni cheap kabla hujafika hatua kama ya mwenzio anaelia hapo juu uanze kusave mapemaaaa
 
sawa...lakini na ukweli aambiwe..[/QUOTE
Ndio maaan akaanza na sentensi ya kwanza kabisa kama funzo kwa wengine .Anajua ameliyoyafanya ni makosa hakuna haja ya kumtreat hivi mu kama huyu yupo down unazidi kumfanya awe down si sawa Vaislay!Hupaswi kumjaji hivyo haitasaidia kwasababu maji yamekwisha mwagika
 
kwanini usiuze hiyo gari yako ili ipatikane pesa ya mtaji ufanye biashara
 
Oooh very sorry mdau. Nimejihisi kama ndio mimi vile imenitokea hivyo though im early 30's
Unajua hii life style tunayoenda nayo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote yule. Tunapenda ishi maisha ambayo kihalisia siyo level yetu.
Mimi mwenyewe mmojawapo ndugu. Nimejikuta otomatikali ninakabiliwa na kodi kubwa ya nyumba inayonikabili kila baada ya miezi sita. Mkopo wa kijigari haujaishia na ndio naona mtego kabisaa hali kama hii itanifikia na mimi. bajeti ya mafuta inanifanya nishindwe kusave hata kiasi kidogo kwa kile ninachokipata. Miaka inayoyoma lakini nashindwa kujinasua kwenye hali hii.Ni ngumu mno ukaacha usafiri wako na ukakimbizana na daladala kisa bajeti ya mafuta(wenye nayo wanajua hali hii)
Siku nyingine nawaza. mfano nikisimamishwa kazi ghafla nitakua mgeni wa nani?
Mbaya zaidi nimemtia mdada mimba amaye sijapanga kabisaa kumuoa.
Mawazo tele asee!
Hii ni shida part twoo ila bora wewe umeamua kujiencourage mwenyewe songambele yana mwisho hayo mkuu
 
Oooh very sorry mdau. Nimejihisi kama ndio mimi vile imenitokea hivyo though im early 30's
Unajua hii life style tunayoenda nayo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote yule. Tunapenda ishi maisha ambayo kihalisia siyo level yetu.
Mimi mwenyewe mmojawapo ndugu. Nimejikuta otomatikali ninakabiliwa na kodi kubwa ya nyumba inayonikabili kila baada ya miezi sita. Mkopo wa kijigari haujaishia na ndio naona mtego kabisaa hali kama hii itanifikia na mimi. bajeti ya mafuta inanifanya nishindwe kusave hata kiasi kidogo kwa kile ninachokipata. Miaka inayoyoma lakini nashindwa kujinasua kwenye hali hii.Ni ngumu mno ukaacha usafiri wako na ukakimbizana na daladala kisa bajeti ya mafuta(wenye nayo wanajua hali hii)
Siku nyingine nawaza. mfano nikisimamishwa kazi ghafla nitakua mgeni wa nani?
Mbaya zaidi nimemtia mdada mimba amaye sijapanga kabisaa kumuoa.
Mawazo tele asee!

matatiz badili kwanza hiyo id yako, siyo nzuri hata kidogo. Pili, naona issue ambazo zinakutatiza umeziendekeza mwenyewe, kuna njia nyingi ya kuziepuka, matumizi makubwa yasiyo ya lazima, mfano waweza kuwa na gari lenye cc chini ya 1500 inatumia mafuta vizuri sana.

Mimi nakaa jet lumo kiwalani, nyumba ninayoishi ina vyumba vitatu vya kulala vikubwa, sitting na dinning room, self contained, gate lenye parking ya kutosha nalipa sh 170,000 mwezi, rafiki yangu anaishi sinza kwenye kikorido na kijichoo na kijisitting room analipa sh 180,000 kwa nyumba hii hii ninayoishi, sinza ingekuwa si chini ya laki saba, sasa hapo kwa choices zako utamlaumu nani.

Vijana tuache kuiga lifestyle ambazo siyo za means zetu, endesha gari lilalokufit, achana na kuiga.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilivyo muelewa jamaa anamainisha ameamlizika kabisa hawezi tena Jongoo hapandi mtungi ,amefika mahali anajitaji mtu wa kumshuhulikia ili asikose kote kote ,isipokuwa ujumbe wake ameutowa kimafumbo kama vile mafumbo yanayokuwepo kwenye kanga
Babylon be a human and put your self in his shoes wakati upo katika stress kama hizi mtu anakupa maneno ya karaha na udhalilishaji kama haya how will you feel.Acha kushabikia vitu pasipo kuangalia unamuumiza vipi mtu uliye mlenga yaani umeboa
 
Oooh very sorry mdau. Nimejihisi kama ndio mimi vile imenitokea hivyo though im early 30's
Unajua hii life style tunayoenda nayo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote yule. Tunapenda ishi maisha ambayo kihalisia siyo level yetu.
Mimi mwenyewe mmojawapo ndugu. Nimejikuta otomatikali ninakabiliwa na kodi kubwa ya nyumba inayonikabili kila baada ya miezi sita. Mkopo wa kijigari haujaishia na ndio naona mtego kabisaa hali kama hii itanifikia na mimi. bajeti ya mafuta inanifanya nishindwe kusave hata kiasi kidogo kwa kile ninachokipata. Miaka inayoyoma lakini nashindwa kujinasua kwenye hali hii.Ni ngumu mno ukaacha usafiri wako na ukakimbizana na daladala kisa bajeti ya mafuta(wenye nayo wanajua hali hii)
Siku nyingine nawaza. mfano nikisimamishwa kazi ghafla nitakua mgeni wa nani?
Mbaya zaidi nimemtia mdada mimba amaye sijapanga kabisaa kumuoa.
Mawazo tele asee!

dah wanaume hapo ndo mnaniacha hoi wakati unamsaula saula huyo mdada hukuwa na mpango nae pia

du wadada tuwe makini jamani men are just releasing their tension they don't see us in the near future as per MATATIZ
 
really your finished you went against GODs rule you now reap what you sow not bad just repent and tell JESUS to give a light fungua hata genge uza or uza gari kajenge nyumba ya mbao kijijini,tafuta kashamba panda chakula

Umeelewa kiini cha lalamiko lake?
 
This is a lesson to younger one. Tafadhali nashindwa kujieleza kwa kiswahili, this is real.

Iam a proffesional male who left work when i was 40, in order to pursue something kama watanzania wengi tunavyofanya. But now i just realize it is beyond my capacity.

I now think I made a mistake and have made things worse, I am not married but i have children with two different women who are married with other guys. I dont have house but i have a car, in general i feel like I am finished.

I feel like I am on an empty journey... I feel miserable and frightened.

THIS WORLD IS NOT FAIR!

Whats that?
 
Tatizo nini ati? Kutokuwa na nyumba? Kutokuwa umeoa? Kuwa na watoto wawili mama tofauti? Huna kazi? Au all of the above?

Halafu utakuwa mbeba box wewe.Anyways,life is simple my friend so don't complicate things caz age is just a number
If you are single,get married

If you don't have a job,get a job,u had it once u can have it again

Watoto wana kushinda,peleka kwa mama zao kwa muda au kwa bibi,kuanza upya sio ujinga.Rudisha mpira kwa kipa anza moja

If you don't have a house,get a plan and stay focused

We are our own worst enemy.

Angekuwa ameoa asingekuwa finished hivi.

Ukiwa single unakurupuka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom