pole badili aina ya gari kama unatumia zinazokula mafuta sana
pia waweza kubadili eneo unaloishi au aina ya nyumba uliyopanga kama unaishi maeneo ambayo nyumba za kupanga ni bei kubwa jaribu maeneo ya pembezoni mwa mji ambako ni cheap kabla hujafika hatua kama ya mwenzio anaelia hapo juu uanze kusave mapemaaaa
Mimi nakaa jet lumo kiwalani, nyumba ninayoishi ina vyumba vitatu vya kulala vikubwa, sitting na dinning room, self contained, gate lenye parking ya kutosha nalipa sh 170,000 mwezi, rafiki yangu anaishi sinza kwenye kikorido na kijichoo na kijisitting room analipa sh 180,000 kwa nyumba hii hii ninayoishi, sinza ingekuwa si chini ya laki saba, sasa hapo kwa choices zako utamlaumu nani.
sijaelewa hapa tukusaidie nini? nyumba, mke au sumu ufe kabisa?