I am 42 yeas old and finished

I am 42 yeas old and finished

Huwa naamini maisha hayana kuchelewa wala kuwahi unaowatazama nakufikiri wamewahi kesho wanaweza kuwa wamechelewa vaa mkanda anza upya simamia ndoto zako utafanikiwa usisahau kusali ......hakuna kukata tamaa angali unaishi
 
Una watoto una gari huna nyumba.
Hauko vibaya sana bado.
Kaza buti songa mbele. Bado unao muda.
 
Cjaelewa hz pole mnazompa huyu ni nn hasa!anaumwa?ni mlemavu?au tatizo ni nn?kwa upande wangu sioni tatizo kwake.
 
sori 4 wat had happen but u should thnx God 4 da lyf he has given u,he stills has gud plan 4 u,u av 2 repent wea u went wrong ask 4 da 4givens from God & may b luking 4 somethng 2 do even if is 2 b employed again on da private sectors,i hope u can take off from there,dnt be ashamed or misareble coz thr is no 1 who is perfect in this world even those who r pointing da fingers @ u they do av their own mistakes/sins...ol da best
 
Kitu cha kwanza kufanya ondoka mjini...mengine yote yatafuata..
 
really your finished you went against GODs rule you now reap what you sow not bad just repent and tell JESUS to give a light fungua hata genge uza or uza gari kajenge nyumba ya mbao kijijini,tafuta kashamba panda chakula

Nimekudharau kwa post hii....
 
ni kuambiana tu ukweli..kumfanyia unafki si vizuri...
second chance na 40's? arudi kwao tu akapumzike...
na ukute kachanganyikiwa sababu hata kwao alihasi...sahizi anajiona kabaki pekeyake hana kwa kukimbilia...

Sio vzuri hivyo unavyofanya.
 
brotha,the good thing is,U are still alive,and U got something to learn,set ur mind straight,this world ain't fair but when U give up U die,think about that.
 
Basi Utakuwa na Matatizo ya Akili kwa maana huwezi kujieleza kwa Kiswahili na pia hicho Kiingereza unachokimbilia pia hukiwezi, kwa maana umeandika kiingereza kibovu sana!


Mbona watu mnakuwa wakatili sana..

Hujaona hapo kaomba "tafadhali"....?
 
jifunze kufikiria

Yani ni kama umehukumu....(Wewe ni nani kuhukumu)....

We nahisi hata mtu anayeumwa yupo kwenye terminal stage unaweza kumuambia utakufa kesho.....

Nimechukizwa na kitendo chako cha kutoa maneno makali huku ukitumia jina La Yesu....Shame on you..
 
sori 4 wat had happen but u should thnx God 4 da lyf he has given u,he stills has gud plan 4 u,u av 2 repent wea u went wrong ask 4 da 4givens from God & may b luking 4 somethng 2 do even if is 2 b employed again on da private sectors,i hope u can take off from there,dnt be ashamed or misareble coz thr is no 1 who is perfect in this world even those who r pointing da fingers @ u they do av their own mistakes/sins...ol da best

Huu uandishi wako uwache huko huko Facebook ukija hapa nyoosha maelezo hapa siyo hostel wala campus.
 
This is a lesson to younger one. Tafadhali nashindwa kujieleza kwa kiswahili, this is real.

Iam a proffesional male who left work when i was 40, in order to pursue something kama watanzania wengi tunavyofanya. But now i just realize it is beyond my capacity.

I now think I made a mistake and have made things worse, I am not married but i have children with two different women who are married with other guys. I dont have house but i have a car, in general i feel like I am finished.

I feel like I am on an empty journey... I feel miserable and frightened.

THIS WORLD IS NOT FAIR!

you are just WEAK!!!
 
Najua umetufahamisha matatizo yako kwa lengo la kuomba ushauri. Ili mtu atoe ushauri kuna mambo hujayaweka wazi ili ushauriwe kulingana na matatizo yako. Tufahamishe yafuatayo:

1. Umesema ni professional, unaprofessional gani?

2. Kwa kiwango gani cha elimu i.e diploma, degree, masters, PhD nk

3. Unachokitaka kutoka kwetu ni nini hasa?

Kwa umri huo unapashwa kuwa na familia yako, kazi ya kueleweka (kama kuajiriwa upo kwenye senior positions, au kama biashara una miradi mikubwa firms, Co, nk) nyumba, pia ungekuwa na muelekeo wa maisha unaoeleweka!
 
Huwa naamini maisha hayana kuchelewa wala kuwahi unaowatazama nakufikiri wamewahi kesho wanaweza kuwa wamechelewa vaa mkanda anza upya simamia ndoto zako utafanikiwa usisahau kusali ......hakuna kukata tamaa angali unaishi
Thank you...hata yeye wapo wanaomtazama na kumuona kafanikiwa..Sometimes kufeli na kufanikiwa kunaanzia mioyoni mwetu
 
sawa...lakini na ukweli aambiwe..

Mkuu bila shaka amekuelewa, Ila huyu jamaa yuko in serious crisis can you imagine, mtu anadiriki kusema "I'M FINISHED" hii sio kawaida hakika anahitaji msaada ushauri alopewa na wadau hapo juu utamsaidia, kimsingi vyovyote itakavyokuwa lazima maisha yaendelee, kuanguka ni sehem ya maisha. Ikitokea simama jikung'ute songa mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom