I am 42 yeas old and finished

I am 42 yeas old and finished

NEVER ever give up.........

NEVER loose hope.........

life aint sunshine always , sometime it may beat you and put you on you knees........

what real matter isnt how hard you Get hit , its how many times you stand on you feet after after falling down......

kwahiyo kuanza upya ni sehemu mojawapo ya mkakati wa maisha.
 
Mhhh.Yanaweza kukukuta hata wewe.Never judge anyone.Huyo ni kweli kachanganyikiwa kwa jinsi alivyoandika but mpaka kaandika hiyo thread anaonesha anahitaji msaada.Ni jukumu letu kumtia moyo.Kila mtu ana eneo lake katika maisha alilochemsha lakini duniani tunainuana kwa kupeana faraja.Umtendee mwenzio lile upendalo utendewe.

sawa...lakini na ukweli aambiwe..
 
ni kuambiana tu ukweli..kumfanyia unafki si vizuri...
second chance na 40's? arudi kwao tu akapumzike...
na ukute kachanganyikiwa sababu hata kwao alihasi...sahizi anajiona kabaki pekeyake hana kwa kukimbilia...

Miaka 40 kachelewa?!...na ni Pro...

Mbona mnapenda kukatisha watu tamaa?!
 
Pole mkuu hujachelewa nyanyuka ulipodondoka jipanguse anza upya usione aibu kwa vile ulishakuwa na aina fulani ya maisha jirekebishe.........kukubali kushindwa ni udhaifu mkubwa jiande/anza upya wapo wengi walishafikwa na hali hiyo wakakubali matokeo na leo wapo sehemu nyingine
 
really your finished you went against GODs rule you now reap what you sow not bad just repent and tell JESUS to give a light fungua hata genge uza or uza gari kajenge nyumba ya mbao kijijini,tafuta kashamba panda chakula
Wacha kumtisha mwenzi wewe... God's rule ndio nini?
 
really your finished you went against GODs rule you now reap what you sow not bad just repent and tell JESUS to give a light fungua hata genge uza or uza gari kajenge nyumba ya mbao kijijini,tafuta kashamba panda chakula
Nyie wanafiki mnaohukumu wengine mnachekesha sana

nimecheki posts zako humu jf, siamini hata wewe ni mtu wa kusema uliyosema

in one week una posts 250,that sums up everything about you

pole sana,... Karma is a -----, tic tac its coming
 
Sijakusoma, uli-pursue nini? Kwanini? Ulishindwa wapi? Kuanzia hapo tutaweza kukusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom