I ain't your mama

I ain't your mama

Dogo em kua...halaf hujiamini ww....wimbo tu unajistukia daaah....acha kujistukia...na uswahil wa kuhis ulkua unapewa vijembe...
 
Umekurupuka dadadeki,,shemela aje tu kwangu mana hakunaga ushemeji tunakulaga
 
Huo wimbo unaimbwa kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wawafanyie kazi zao kama vile hao wanawake ni mama zao na wanaume ni watoto.

Hivyo, huyo mpenzi wako kashaona una tabia hiyo ya kumtumatuma, ndiyo maana aliufurahia sana huo wimbo.

Tena akakuimbia ulipomtuma. Huyo hakufai, kama unataka wa kutuma tuma tafuta Mnyalugusu mwingine.
 
Hehehehe kwani sisi ndio papa zao kwann tuwalipie bills na kuwapa hela?
 
nimeuelewa na kuheshimu uamuzi wako - get even sometimes
 
Hapana mkuu dalili ya mvua ni mawingu. Kwanini asinifanyie kazi zangu mimi wakati hela natoa nyingi? Si bora niweke house girl tena atachukua ujira mdogo

Kwani we uko na uyo girlfriend wako ili akufanyie izo kazi zako? Mbona kama ni kazi mtu yeyote anaweza kufanya you have to be serious
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom