I ain't your mama

I ain't your mama

pale unapokua na mpenzi wako afu akasikia " these girls aint loyal"
na wewe ukajibu "I DONT *** WITH YOU"

mapenzi kwishinei
 
Mmmmmh jmn yaaan kuimba tu umemuacha.au hujui kuimba ni kipaji na ungeweza kumpa sapoti mkatengeneza pesa. Wengi wanaimba lakini huwa hawamaanishi jmn.pole
 
Hehehehehehe I ain't your mama , wimbo aimbe Jlo wewe umuache mpenzi wako. Polee
 
Hapana mkuu dalili ya mvua ni mawingu. Kwanini asinifanyie kazi zangu mimi wakati hela natoa nyingi? Si bora niweke house girl tena atachukua ujira mdogo
Kumpa pesa ni maamuzi yako na kumbuka mapenzi si pesa kaka. Unataka kusema sababu una mpa pesa basi afanye kazi zote? Haya weka house girl afanye hizo kazi na papuchii akupe na ukiitaji mwanamke wa kumshirikisha kwenye maendeleo yako au ushauri huyo house girl afanye yote.
 
Nimecheka sana huu uzi kwa Kweli kwanza km Uongo vile ni story tu, Sidhan kama mtu Hamna ugonvi wowote from no whr tu ajiimbie wimbo Alafu apigwe kibuti,Kwan ungemwambia tu baby nakupenda sana ila siupendi huo wimbo pls usiuimbe Tena mbele yangu period, angekuskia Nadhan
Kwa jinsi anavyonijua isingekua rahisi kuimba mkuu.
 
Wimbo umeimbwa na JLO huo
Mmh wewe kisirani mbona sioni shida hapo
Kama alikukwaza ungekaa naye chini myamalize umekurupuka flani hivi mana hukutaka maelezo yake
Na yeye alikurupuka fulani hivi amazing kuimba
 
Umemnyanyasa tu mtoto wa kike labda umegundua anakupenda basi mashauzi yanakuwa mengi basi, sijaona kosa hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom