Ndio maana sikupata shida alipocheza clubsioni huo wimbo shida yake ni sawa na tulipokuwa zama za staki demu kama enzi hizo ulikuwa ushaanza kwenda bugi hebu nambie ulijiskiaje kudance huo wimbo ilihali na mpenzi ukonae!!haina tofauti na chop my money,duce zote zilipigwa club na watu wakadance hasa vidume wengine wapenzi wao wako nao
Kuwa mvulana hapa Tanzania ni kinyume na sheria? Au ukiwa mvulana huendi peponi.? Au ukiwa mvulana huna haki ya kuwa binadamu?Bado ww mvulana tena Wa ipumbuli atrist ingekuwa mvulana Wa dar kidogo ungekua na akili ata ya kuvukia barabara za mwendo kasi
Ndio maana sikupata shida alipocheza club
Hautaki kuwa na mwanamke(mpenz) mpaka utilize umri Wa kijanaKuwa mvulana hapa Tanzania ni kinyume na sheria? Au ukiwa mvulana huendi peponi.? Au ukiwa mvulana huna haki ya kuwa binadamu?
ikiwezekana mwaga tu.mhhh kila kitu nimwage huku!???
Nani alikudanganya?Hautaki kuwa na mwanamke(mpenz) mpaka utilize umri Wa kijana
I ain't her papasa kwan uongo? she ain't your mama she is your girfriend
Ni hii nyimbo inaleta tafrani
Ain't Your Mama"
I ain't gon' be cooking all day, I ain't your mama
I ain't gon' do your laundry, I ain't your mama
I ain't your mama, boy, I ain't your mama
When you're gon' get your act together?
I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama, no
Wake up, and rise and shine, ah yeah yeah yeah
Let's get to work on time, ah yeah yeah yeah
No more playing video games, ah yeah yeah yeah
Things are about to change, 'round here, 'round here
We used to be crazy in love
Can we go back to how it was?
When did you get too comfortable?
Cause I'm too good for that, I'm too good for that
Just remember that, hey
I ain't gon' be cooking all day, I ain't your mama
I ain't gon' do your laundry, I ain't your mama
I ain't your mama, boy, I ain't your mama
When you're gon' get your act together?
I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama, no
Lucky to have these curves, ah yeah yeah yeah
Stop getting on my nerves, ah yeah yeah yeah
You still tryna ride this train?, ah yeah yeah yeah
Some things have got change, 'round here, 'round here
We used to be crazy in love
Can we go back to how it was?
When did you get too comfortable?
Cause I'm too good for that, I'm too good for that
Just remember that, hey
I ain't gon' be cooking all day, I ain't your mama (I ain't your mama, no)
I ain't gon' do your laundry, I ain't your mama (I ain't your mama, hey)
I ain't your mama, boy, I ain't your mama
When you're gon' get your act together?
I ain't your mama (I ain't your mama)
No ooooh, I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama, no
I ain't your mama, no
We used to be crazy in love
Can we go back to how it was?
When did you get too comfortable?
Cause I'm too good for that, I'm too good for that
Just remember that, hey
I ain't gon' be cooking all day, I ain't your mama (I ain't your mama)
I ain't gon' do your laundry, I ain't your mama (I ain't your mama)
I ain't your mama, boy (No, no, no)
I ain't your mama, boy (No, no)
When you're gon' get your act together? (Cause I ain't your mama, hey)
I ain't gon' be cooking all day, I ain't your mama
I ain't gon' do your laundry, I ain't your mama (I ain't your mama, hey)
I ain't your mama, boy (Na, na, na)
I ain't your mama (Na, na, na)
When you're gon' get your act together? (No, I ain't your mama, no)
No ooooh, I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama
No ooooh, I ain't your mama, no
We unajistukia.... AU la unataka kumipiga chini ila unatafuta sababuHabari gani wakuu?
Natumai wote mu wazima. I ain't your mama ndio kichwa cha uzi huu hapa.
Ni hivi nimekua na mahusiano ya kimapenzi na mdada mmoja hivi kwa zaidi ya mwaka na mambo yamekua yakienda fresh hamna mbaya lakini hivi majuzi niliamua kukatisha mapenzi hayo kwasababu ya wimbo wa i ain't your mama, kisa ni hivi;
Week tatu zilizopita tuliamua kutoka out na huyo aliyekuwa mpenzi wangu tulienda disco ama club. Watu walicheza sana coz DJ alikuwa vizuri sana kila nyimbo aliyotupia watu kelele weweeeeeeeeeee, ila sisi hatukuwa tunacheza bali tulikua tunakunywa mvinyo tuu na kuangalia watu wanavoamsha kwenye dansi floo coz sisi sio wachezaji wazuri wa muziki ila tunapenda muziki.
Cha kushangaza ni pale DJ alipocheza wimbo wa i ain't your mama huu wimbo nauona unachezwa mara kwa mara kwenye chanel ya Trace urban ila sijui aliyeimba ni nani. Wimbo huu ulipoanza tuu mpenzi wangu aliruka kwenye kiti moja kwa moja akicheza kuelekea kwenye dansi floor huku akiuimba wote sijui ni lini ameukariri.
Niliwaza kidogo kwanini kaenda kucheza huu wimbo na sio mwingine? Nikasema isiwe kesi may be ni mvinyo imeingia kichwani, alicheza akifurahia sana huku akinyoosha vidole na wimbo ukawa unafika ukingoja akarejea kwenye kiti huku akiendelea kuimba wimbo huo huo.
Tuliondoka na kurejea nyumba ila nikiwa na kitu kichwani kama nawaza ila sijui nawaza nini. Kesho yake tuliagana akarudi kwake na mimi nikaendela na mambo yangu.Sasa weekend hii alikuja home akapika tukala mambo yakawa yanaenda fresh. Nikakumbuka natakiwa kumtumia ndugu yangu flani hivi document alikua anaziihitaji tangu asubuhi.
Chaa ajabu nilivomwambia mpenzi wangu huyo akaniletee vocha ya halotei aliguna then akawa anaondokaa kwenda dukani huku akiimba I ain't your mama. Hasira zilinijaa sana nikaamua kumtolea kila kilicho chake na kumwekea mlangoni nikafunga mlango nikatokea uwani kwa ufipi penzi lilishia hapo japo nilipata taarifa alilia sana.
Ataenda kuhadithia wenzake.
kumbe mkuu jibu lilikua rahis tu ungeimba na wewe your ain't her dadyI ain't her papa
ikiwezekana mwaga tu.
Usimlaumu sasa. Move on!Sifanyi vipindi vya maswali na majibu nikiwa na mpenzi
Mumeo ana kazi....Hee eti unamtuma dukan....kakupikia kakuoshea vyombe kakufulia dukan pia akuendee eeeishhhh sasa wewe wafanya nini....kwenda dukan ni kazi yako....unless km alikuwa na safari ya kwenda dukani ndio umuagize...