thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 267
Mtazamo tuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!@@@@@@@ kiranga na lugha na ujuzi,asprin na totoz,le mutuz hamnazo,the boss point kapita hivi,umukagame hajielewi,free ideas mbishi bila misingi,miss kim mvivu kufikiri,lara 1 anapenda taarabu,evelyn kitanda na yeye yeye na kitanda ila kwa story poa.masai dada hajichubui,faizaphoxy mtetezi wa dini ila siasa ni mnafiki,ifweero ni mgonjwa wa akili ila anatumiwa na watu flani kupotosha Asprin Kiranga masai dada FaizaFoxy
Last edited by a moderator: