Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Wafuasi wote wa kitabu kinachosema Nyoka anaongea ni wendawazimu

Pia na wafuasi wa kitabu kinachosema punda ana mabawa anapaa kwenda mbingu ya saba nao ni wendawazimu.

Hakuna wa kumcheka mwenzake. Wote matapeli tu.
Basi sawaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
God exist but religious is scam❌
God exists, but religion is a scamβœ…
Sasa ukasirike tena🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kulikua na Madame wa English, nikiwa o level, jamani sio kwa kukosoa kulee.
Au ni wee?
 
Yaani wafuasi wa makanisa uchwara type ya mwamposa, Tony, mwakasege, suguye, zumaridi, nick shaboka,
Sijui nawaonajee vilee, km wendawazimu.
Watanisamehe kwa kweli, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kule Songea mbona wanajaa kwa Apostle Super Charger
 
Shindii sikiliza hiyo ngoma na mziki wa pesa ya kueleweka , acha kulaumu pombe shindii wangu
Shindii unalewa na ninakudaiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Kule Songea mbona wanajaa kwa Apostle Super Charger
Super charger toka afirwe hana jipyaa, sahivi mambo yako kwa jirani angu Mbilinyi, hadi Alphard nyeusi kanunuliwa, na nyumba shule ya Tanga karibu inamalizika ahamie.

Huku wafuasi wake wakikesha madimbani luhira na nakarai.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shindii unalewa na ninakudaiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Shindii hivi hawaja kuambia mimi kulewa million tsh sio shida zangu ? Kwa siku??..?.🀣🀣🀣
 
Mbilinyi chepo (kanisa) yake ipo wapi
 
Je?, wewe ni miongoni mwa waliotongozwa. Kama siyo basi huu uzi wako ni udaku mtupu. Mwache jamaa ale pesa za kondoo
 
Msamala - Miembeni, unashuka barabara mpyaa unateremka na njia inayokuja shuleni.

Ndo mitaa ya home kabisaa, ibada na makelele yote ya kanisani nayasikia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Songea Nako wameona Kwa kuchumia,maana Kuna vinabii uchwara😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…