Huyu Sijui Yuko Kitengo Gani....Aisee..

Labda alipewa kazi maalumu...lol..upande wa chakula

Aisee, inawezekana The Finest. Huyu askari nikimuona, simwogopi hata kama ninakosa. Atanikamatia wapi? Ana ujanja huo...
 
Mwenyewe amereraksi hana presha......:tongue:
 
Huyu atakuwa askari wa kuzuia rushwa tu. Anazuia kwa kula sehemu yake!
 
Atakuwa ni bosi wa tume ya kudhibiti rushwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…