Huyu Sijui Yuko Kitengo Gani....Aisee..

Huyu Sijui Yuko Kitengo Gani....Aisee..

Halafu limetoka kula samaki 6 na ugali sahani 3, na meza halijafuta!...pyuuuuuk!!!!
 
Duh! hilo tumbo sio ugonjwa kweli!? Nahisi yuko hospitalini na anasubiri kumuona daktari hapo.................


Hahaaa, kitambi cha namna hii kaka ni ugonjwa tu kama ilivyo malaria, na ukiwa nacho yapaswa utibiwe mapema!
 
huyu nazani anakazi moja tu ya kula na kulala kama ana mke basi ni taaab tupu
 
Coz I've never seen such a big ass belly before.

I think it's distended by some kind of a disease.

Oyaaah......umerudi lini wewee......uwe unapiga hodi aisee.....

Mzee wa midoti doti........
 
Ehh Mungu, hivi huyu aliyapitaje mazoezi ya ukuruta?
 
Halafu Uniform yake jamaa lazima iwe Special Order..:lol::lol:
 
Back
Top Bottom