Huyu Sijui Yuko Kitengo Gani....Aisee..

Huyu ni mgonjwa....Hakuna shaka yoyote.

Hata hivyo tatizo lake ni kubwa na gumu kulipatia ufumbuzi kwani sina hakika kama hospitali zetu zinaweza kumfanyia operation ya kupunguza tumbo na kuondoa baadhi ya mafuta (minyama uzembe)!!

Babu DC!!
 
Hivi hakuna operation ya kupunguza kitambi?? hii sasa karaha na sidhani kama ana mke
 
Huyu ni mgonjwa....Hakuna shaka yoyote.

Hata hivyo tatizo lake ni kubwa na gumu kulipatia ufumbuzi kwani sina hakika kama hospitali zetu zinaweza kumfanyia operation ya kupunguza tumbo na kuondoa baadhi ya mafuta (minyama uzembe)!!

Babu DC!!
Kwa kweli kwa huyu wanahitaji kwenda kufanya further check up vinginevyo it's not healthy kabisa
 
Kwa kweli kwa huyu wanahitaji kwenda kufanya further check up vinginevyo it's not healthy kabisa

Una maana ulikuwa bado unahisi kwamba jamaa yuko mzima (healthy)??

Hapo ni pathology tu.....physiology ilishapitwa siku nyingi!!

Babu DC!!
 
Nafikiri wanachofanya ni kuondoa yale mafuta..

Siyo kuondoa mafuta tu...wanapunguza size tumbo (abdomen) ili kupunguza kiasi cha chakula anachoweza kula kwa mara moja...

Kuna show moja kwenye TV walimwonesha Bus Driver wa UK aliyefanyiwa operation ya namna hiyo...Ilimsaidia sana kukata uzito baada ya kupunguza ulafi...Alikuwa anakula portion kama 3 za chips kuku kwa siku + mazaga zaga mengine...

Yaani alikuwa anaanza kula baada ya kupack gari hadi anaenda kulala...

Alikuwa anatumia karibia saa moja na nusu kuamka kutoka kitandani na kuoka!!!

Babu DC!!
 
huyu ana kazi kubwa sana kufunga kamba za viatu vyake

Si hivyo tu, hata kumchungulia mheshimiwa inabidi atumie kioo tena akiegeshe mahali!!

Hawezi hata kuoga vizuri kwa sababu sehemu nyingine zimeshafichwa kwenye mipenyo mipenyo isiyo rasmi!!

Babu DC!1
 
Back
Top Bottom