HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 10, 2015 #2 Ha .... TTCL!
finance2014 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 314 Reaction score 79 Aug 10, 2015 #3 Hahaha ivi zile simu za mkononi za ttcl ziliishia wapi?
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Aug 10, 2015 #4 Yangu ninayo mpaka sasa ilikuwaga ikiita mpaka walio mita 300 wanasikia sijui dada hapo anajiteteaje asipopokea
Yangu ninayo mpaka sasa ilikuwaga ikiita mpaka walio mita 300 wanasikia sijui dada hapo anajiteteaje asipopokea
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 10, 2015 Thread starter #5 Wapoti said: Yangu ninayo mpaka sasa ilikuwaga ikiita mpaka walio mita 300 wanasikia sijui dada hapo anajiteteaje asipopokea Click to expand... HARUFU said: Ha .... TTCL! Click to expand... finance2014 said: Hahaha ivi zile simu za mkononi za ttcl ziliishia wapi? Click to expand... Hahhahaaaaa rip ttcl
Wapoti said: Yangu ninayo mpaka sasa ilikuwaga ikiita mpaka walio mita 300 wanasikia sijui dada hapo anajiteteaje asipopokea Click to expand... HARUFU said: Ha .... TTCL! Click to expand... finance2014 said: Hahaha ivi zile simu za mkononi za ttcl ziliishia wapi? Click to expand... Hahhahaaaaa rip ttcl
Usinifokee JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,502 Reaction score 3,525 Aug 10, 2015 #6 hahhha
mizarb JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,402 Reaction score 1,290 Aug 10, 2015 #7 TTCL walichobakiza ni internet services bila shaka
apologize JF-Expert Member Joined Jul 22, 2015 Posts 709 Reaction score 571 Aug 10, 2015 #8 du kanikumbusha mbal...siku hz sizion sjui wamezpeleka wap?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Aug 10, 2015 #9 kwani bado inafanya kazi ttcl?
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Aug 11, 2015 #10 Inachekesha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 11, 2015 Thread starter #11 Th Name said: kwani bado inafanya kazi ttcl? Click to expand... mizarb said: TTCL walichobakiza ni internet services bila shaka Click to expand... apologize said: du kanikumbusha mbal...siku hz sizion sjui wamezpeleka wap? Click to expand... Wamekuwa na wema wa mshumaa kwa iliyokuwa Celtel, zain na sasa Airtel
Th Name said: kwani bado inafanya kazi ttcl? Click to expand... mizarb said: TTCL walichobakiza ni internet services bila shaka Click to expand... apologize said: du kanikumbusha mbal...siku hz sizion sjui wamezpeleka wap? Click to expand... Wamekuwa na wema wa mshumaa kwa iliyokuwa Celtel, zain na sasa Airtel
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 11, 2015 #12 harufu said: ha .... Ttcl! Click to expand... ttcl pesa
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Aug 11, 2015 #13 mshana jr said: Wamekuwa na wema wa mshumaa kwa iliyokuwa Celtel, zain na sasa Airtel Click to expand... ndo tanzania hii
mshana jr said: Wamekuwa na wema wa mshumaa kwa iliyokuwa Celtel, zain na sasa Airtel Click to expand... ndo tanzania hii
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 11, 2015 #14 apologize said: du kanikumbusha mbal...siku hz sizion sjui wamezpeleka wap? Click to expand... Kuna mwaka walitoa simu zao za mkononi nadhani ilikua 2006 kama hivi ikawa unatuma sms free mitandao yote sijui zimeishiaje
apologize said: du kanikumbusha mbal...siku hz sizion sjui wamezpeleka wap? Click to expand... Kuna mwaka walitoa simu zao za mkononi nadhani ilikua 2006 kama hivi ikawa unatuma sms free mitandao yote sijui zimeishiaje
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Aug 12, 2015 #15 Simu za TTCL bado 'zinalipa' sana maofisini. Hasa pale bosi anapotaka secretary amletee chai anapiga simu ya 'kukoroga'!
Simu za TTCL bado 'zinalipa' sana maofisini. Hasa pale bosi anapotaka secretary amletee chai anapiga simu ya 'kukoroga'!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 12, 2015 Thread starter #16 farkhina said: Kuna mwaka walitoa simu zao za mkononi nadhani ilikua 2006 kama hivi ikawa unatuma sms free mitandao yote sijui zimeishiaje Click to expand... Long time no see farkhina, furaha yangu kukuona tena Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Kuna mwaka walitoa simu zao za mkononi nadhani ilikua 2006 kama hivi ikawa unatuma sms free mitandao yote sijui zimeishiaje Click to expand... Long time no see farkhina, furaha yangu kukuona tena
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 13, 2015 #17 mshana jr said: Long time no see farkhina, furaha yangu kukuona tena Click to expand... Thank you Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Aug 13, 2015 #18 maandishi yanasogeza siku
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,570 Aug 14, 2015 #19 mshana jr said: View attachment 275069 Click to expand... Huyu lazima atakuwa gamba