HeheheheHuyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.
Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.
Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.
View attachment 2123470
Wanawake wengi wanashindwa kuitanguliza status yake kwanza, hapo ndio wadangaji weengi wanafeli, hawana mipango kabisa, kuna goma langu moja nishawahi lipa elimu ya hii kitu mpaka kesho ananishukuru, sasa yupo kwa madiba, hapa ana mijengo miwili ya maana hana tabu, nilimwambia "uzuri wako ndio mtaji wako, umeamua kudanga, weka thamani yako katika level fulani, wazuri wanagapi wanatafunwa na sisi kina pangu pakavu, mfano wewe zaidi ya kufata ukuni kwangu unapata nini cha maana" the rest is history.Sifa ya kuwa mwanamke expensive unayestahili treats ni lazima uwe unaweza ku clear bills zako bila kusumbua hilo la kwanza.
Then baada ya hapo tutaendelea ku retain value yako bila pressure 😅 you don’t have to mention it. We on service 24/7 lazma ule apple tu.
Akina mwajuma ndala ndefu kuja on date tu lazma utangulize elf 50 ya nauli. Humo akabandike kucha na kusuka ndio aje kwako. Humo hamna kitu lazma tukereke tu😅
SURA SIO ROHONa mdada nae mzuri jamani wacha tu afaidi
Kijamii ni mume anatakiwa amtunze mkewe ila kimantiki mwenye uwezo kati ya hao anaweza pia kutunza kama anakipato kikubwa mfano wasanii wa kike wakubwa kama ilivyokuwa kwa MadonaLakini kijamii na kiimani (ambacho sidhani kama wewe unaamini) nani anapaswa kutunzwa kati ya me na ke?
Hahaaa, well done !Bora umesema ukweli...sasa wewe ng'ong'ozo tukupandishe private jet ya nini? Wee panda bodaboda inatosha
Bora umesema ukweli...sasa wewe ng'ong'ozo tukupandishe private jet ya nini? Wee panda bodaboda inatosha
Hivi unavyotaka hyo heshima huko home na kutetemekewa hujui ina gharama yake? Kimila ya mtanzania mwanamke abapaswa awe mtu wa bamna gani kwa mumewe na mume anapaswa aweje? Hayo ni majukumu yako wewe kama mwanaume ndani ya nyumba.Meza kwanza hiyo dawa niliyokupa hapo.
Kwanini msitengenezwe na wazazi wenu? Kwani lazima sisi ndo tuwatengenezee? Kwanini msijitafutie kama tunavyojitafutia?
Mkishafanya makalio na matobo kuwa mtaji msitarajie kuwa na vigezo vya kupandishwa jeti.
Mkubaliane na ukweli kwamba usafiri wenu ni wa Guta tena ukipewa nauli ya boda inabidi ujihesabie bahati.
😁😁😁 si mlisema ukitaka upendo wa dhati mtafute wa kwako ata akiwa choka mbaya utamtengeneza awe kama beyonce,Sifa ya kuwa mwanamke expensive unayestahili treats ni lazima uwe unaweza ku clear bills zako bila kusumbua hilo la kwanza.
Then baada ya hapo tutaendelea ku retain value yako bila pressure 😅 you don’t have to mention it. We on service 24/7 lazma ule apple tu.
Akina mwajuma ndala ndefu kuja on date tu lazma utangulize elf 50 ya nauli. Humo akabandike kucha na kusuka ndio aje kwako. Humo hamna kitu lazma tukereke tu😅
Ndugu kama ingekuwa furaha kwao kuchazwa Juani mwaka mzima basi wasingechepuka na wale wenye uwezo. Tunawajua vizuri siongei kwa kugesi.Unaelewa maana ya furaha? Una uhakika definition ya furaha kwako ni sawa na kwa wengine? Hayo unayoona ni mateso kwako una uhakika kwake ni mateso? Hao wanaowatimizia mahitaji wake zao lakini ni masikini wanaoishi vijijini wake zao hawajaolewa? Wanawake wenye mindset kama zako ni hatari mno!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Me sio mnyaki mkuu...kwa wale wa kabila langu wanapoona jina nakadori tu wanajua ni wa wapii. Kutaja wanyaki nimetoa mfano tu wa rangi nyeusi maana ndo wanaoongoza kwa weusi tanzaniaWanyakyusa makalio sawa mnazo Ila sura kwa kweli hpn Bado Sana hkn pisi Kali aise pale na Kam wapo Ni wageni
Wanyakyusa makalio sawa mnazo Ila sura kwa kweli hpn Bado Sana hkn pisi Kali aise pale na Kam wapo Ni wageni
Pesa hazijawahi kutosha.Tufanye hazitoshi
Kwani na sie tuliomba tuwe maskini...mnavyotuonaga kama manyani vile tukiwa hatuna mihelajamani kwani tuliomba tuwe Ng’ong’ozo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umenichekesha sn
Ndiyo Ukweli WenyeweNa mdada nae mzuri jamani wacha tu afaidi