DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,259
- 4,691
Biashara yenyewe ya RD ni mtaji alipewa na huyo mwanaume.
Watengenezeni wanawake wawe na class mnayoitaka msitafute kichaka cha kujificha
Meza kwanza hiyo dawa niliyokupa hapo.
Kwanini msitengenezwe na wazazi wenu? Kwani lazima sisi ndo tuwatengenezee? Kwanini msijitafutie kama tunavyojitafutia?
Mkishafanya makalio na matobo kuwa mtaji msitarajie kuwa na vigezo vya kupandishwa jeti.
Mkubaliane na ukweli kwamba usafiri wenu ni wa Guta tena ukipewa nauli ya boda inabidi ujihesabie bahati.